Hivi kuna mkoa unakosa maadili kama Dar?

Ulifanya vizuri kushuka, mmekubaliana bei halafu akupandishe mishkaki
 
Naona huelewi ambacho tuna zungumzia unataka kuleta ligi. Hivi unaweza kaa mshikaki na mama yako au dada yako ? ukae nyuma yao huku umebambia
Sana tuu. Wote ni abiria kwa muda huo na sio mama na mtoto au kaka na dada.
 
Hiyo ni kukosa maadili au ndio usafiri wa common mwananchi shitholeni!

Unachaguaje namna ya kusafiri wakati huna fweza za kujiposition, hali yako inakuforce ufike kwako sio tako la mteja mwingine kama unataka hayo unayoyaita maadili unachukua boda peke yako tu ize!

Hivi maadili ni kitu gani? Kuna reference mahali tukajifunze?
 
Usishangae mshua ndo maisha yetu sisi watoto wa kimasikini
 
Ila afadhali hao x na Y. Sasa mimi huwa nashangaa na siwaelewi wa1e wanaokaa mshikaki wanaume watatu dereva wa nne! Unakuwaje comfortable mwanaume mwenzio kakaa nyuma yako zero distance? Ila Gen Z mna vitu vyenu vya kipekee.
 
Uko sahihi.
Kwa mfano usafiri wa boda kutoka kariakoo hadi Gongolamboto ukikodi ni elfu 10 ila mkiwa watatu mtachanga elfu 3 kila mmoja sasa bila kuchangia kwa mtindo huu ni raia wangapi wanamudu kutoa elfu 10 ya kulipia usafiri wa boda kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…