Hivi kuna mkoa unaongoza kwa wizi wa kusafisha Nyumba nzima kama Mbeya?

Washua wamehamia isyesye, maziwa ,ituha na forest mpya (hii ndo masaki ya mbeya) karibu na hospital ya mkoa lakn bado wahun wanawafata hkohko
 
Nilijua chanzo cha kuachana ni wewe kufumaniwa mzee wa totozi


Hala hala lakini kijana ohoooo
wanawake inabidi muwe mnatusamehe tu aisee si ata nyie mnaona wadada wenzenu walivoumbika huko mtaani? alinipenda sana yuke dada na bado ananipenda ila kurudiana ndo alishagoma katakata hataki shida. kwao ni wakishua hatari
 
Washua wamehamia isyesye, maziwa ,ituha na forest mpya (hii ndo masaki ya mbeya) karibu na hospital ya mkoa lakn bado wahun wanawafata hkohko
Forest mpya imekaa poa sana maana kwanza imejitenga na uswazi kama Nzovwe, Meta, Iyunga na viunga vyake. changamoto kule kupata room ya kuishi ni ngumu kama uchumi wako ni legelege. kule Hospitali ya mkoa kumepoa lakini ukisogea karibu na mtaa gani ule sijui Inyala kama sikosei wanachuo wengi sana kwaiyo kuibiwa hakuepukiki

Isyesye kule ndo naona kama uhakika sana
 
Isyesye kupo cool sana hamna ugai gai
 
wanawake inabidi muwe mnatusamehe tu aisee si ata nyie mnaona wadada wenzenu walivoumbika huko mtaani? alinipenda sana yuke dada na bado ananipenda ila kurudiana ndo alishagoma katakata hataki shida. kwao ni wakishua hatari
Hivi nyie wanaume hua hamuoni wanaume wenzenu walivyojengeka ?

Hua mnadhani wanawake hawatamani?
Mi mara zote nasema wanaume wengi ni dhaifu +ulimbukeni

Mnasema sisi tunaendeshwa na hisia but vice versa is true
 
shida ya isyesye ni mbal sana na town km huna usafir binafs n tatzo.

Ila mbeya ukishndwa kudhbit tamaa ya matak makubw mtaan umeisha hakunaga mke w mtu mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…