Hivi kuna msanii wa kike Afrika anayemzidi Tems?



Nimefurahishwa sana na majibu yako cocochanel, hasa jinsi ulivyo na mtazamo chanya!
 
Kuna Tiwa Savage ,Yemi Alade ndio maana nasema kila Mtu ana taste zake kwangu mimi ni wa kawaida tuu Nandy
Hao ni vybe artists
Hawana utunzi mziki wao ni wa ku party and all that.. Muziki unaanzia kwenye utunzi..
Unaweza ukawa mwimbaji lakn usiwe Mtunzi..

Tems ni package ya hayo yote,
Ndo maana ana Grammy. Na hajaitolea jasho kupitia branding, media na Kiki.
Watu wameona kazi zake. Watu wanaojua mziki Hao, sio wa kina master Jay,
 
Master J alipewa punch moja na Kiroboto, haji kuisahau, masna kila akilala, anaweweseka nayoπŸ˜‚πŸ˜‚ anaanza kuweka ngoma zake kujustify ukali.

"prodyuza ni p funk"πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…