Hivi kuna msanii wa kike Afrika anayemzidi Tems?

Baada ya bar hiyo kutoka kwa Nature, Kwa wiki 2 mfululizo, Master J alikuwa anapost instagram, orodha ya ngoma zake alizoproduce. Ana wasiwasi kwenye mshkaki wa soseji anaokula Nature kuna kitu kiliwekwa😂😂🤣
Unajua Master a nafikiri watu wa Namkubali, he had a wrong impression... Anaishia kuwa zonga wasanii tuu, kama ile issue ya Mario na Bien kwenye tuzo za Trace😂 sawa dogo marioo alizinguaga ila sio kwa michambo ile
 
Ndio sababu ya Nature kumjibu, kuwa hata yeye sio mkali. Master J alizinguliwaga hata na Ali Kiba kuwa hajui kuimba, hawezi mfikia Bien - ni kama anapenda kuwakatisha tamaa wasanii
 
Hivi zuchu bado ni msanii au alishaokoka?
 
Kush and wisdom 🔥🔥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…