Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Tuhuma huwa zinathibitishwa na Mahakama sio na Macho ya 'Wazalendo' kama Ww

Hizo mahakama za kuthibitisha wizi wa hawa maccm ziko wapi? Ndio maana marehemu Karume kule Zanzibar alikuwa anasema " Ukimkama mwizi keba ni mwizi tu" hakuna haja ya mahakama kuthibitisha!!!
 
Akina Jk tangu 1880s hawajapoteza Pasi…tukabe nasi tumiliki npira walau kwa miaka 10 badala ya kupigizana kelele JF za uzalendo wakati ziki zimetujaa hadi kwny kope

Kuwaita Wezi,vibaraka, sijui mafisadi havijawapunguzia kitu wao wala kutupa nafuu sie

Mzee Mizega ( Babu wa Jakaya) aliitwa Kibaraka wa wakoloni na 'wazalendo' wenzako

Mzee Mrisho ((DC) akaitwa Kibaraka wa Waingereza

Jakaya akaitwa Dhaifu, sijui Fisadi sijui nini

Mwanae Ridh kaitwa Muuza ngada sijui Fisadi sasa hivi Naibu Waziri


Pengine matusi yetu ndio 'ubani' unaowasaidia kutoboa zaid

Halaf Roho huwa inauma sana mtu unaemchukia sana akiwa anafanikiwa kila siku


Hizo mahakama za kuthibitisha wizi wa hawa maccm ziko wapi? Ndio maana marehemu Karume kule Zanzibar alikuwa anasema " Ukimkama mwizi keba ni mwizi tu" hakuna haja ya mahakama kuthibitisha!!!
 
Unanikumbusha nilivyoishi Makorora Tanga miaka ya 83. Nilikua nasubiri Giza liingie ndio niende kwa mama ntilie kuchukua Maharage yakiyokwisha ungwa. Kisha nawasha mchina na kusonga chap. Ugali ukishaiva jiko linatolewa nje lipoe harufu Kisha navua Shati. Nikishamaliza kula nawasha sigara na kutoka kuvutia nje.
 
Vitoto vya 'Oryx gas' havielewi hata maana ya kuwasha mchina
 
Nakumbuka kipindi Cha mkapa mzee wangu aliweza kumiliki gar tatu kwa mpigo na wote tukasoma Private school
Kipindi Cha jkn akaacha mwenyewe nae broo akawa ndio ananza Kaz akitokea udsm lmv duh hatari Sana
Siwez sema yote ila kila tawala ina bahat zake
Akaja jpm dah broo ninae mfata katusua mbaya
 
Halafu kuna vijitu usipounga Mkono Madai ya Katiba Mpya wanakuona fala kumbe hawajui neema mnazokula kupitia katiba Mkweche

Mie mwenyewe nasema Katiba sio 'Kipaumbele changu' maana nina kichaka flani cha kusogezea siku na huenda kikafyekwa likija hilo Katiba mpya
 
Aliutendea haki msemo wa kizuri kula na nduguyo. Kwa kweli acha tumsifu angali hai.
 
Umenichekesha sana. You've made my day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…