Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Wa kichamba na kufoka πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

 
Hata Nyerere mwenye Tanganyika na kisha Tanzania hakuwahi KULA
 
Na bado anatamani awe na madaraka ya urais tena
 
Kwa hiyo alikuwa ni yeye? Mbona tuliona Tausi na wanyamapori kama hao ATI wanapelekwa Chato kumbe wanavushwa.
 
Hata ukiangalia kwa sasa wanaojifanya kumchukia Samia ndio kwanza wanamfungulia baraka.

Ukiona Mungu kampa mtu ukuu wewe kama kuna shida mkosoe na muombee,kumchukia unapoteza mda.

Pili ukishika dola kuna makosa ya kibinadamu but generally ukijitahidi kutenda haki kwa wengi Unapata thawabu ila ukiwa mkatili na kujifanya Mungu mtu inakukata mapema Sana..

Siku zote laize afare style ndio nzuri,wote waliojifanya kukaza hapa Duniani walikufa mapema Sana.
 
Mungu aendelee kumbariki JK. Kuna.mengi mazuri ameyatenda nchi hii. Inasemekana mastory ya town yaani kina Ndama au Charle Mtawali, au Dr Mponjoli walivyokuwa wakienda sehemu mfano Uk, au Atlanta ,au Ohio kuna wadau wanaomba likizo kwa ajili ya bata mwanzo mwisho ndivyo mkulu nae kuna vijana wa mjini huko New york walikuwa wanamsubiri akipanda tu watu wanaomba off kubeba box wanajua Kaka mkubwa is in town. bata kama lote yaani, Clubbin mzee mbele huko strippers kama malaika. Hata mimi ningekula hilo bata.
 
Hayo yote yakiwemo manissan na mahekalu hayana maana kama hayawaletei furaha!!!!! Tajiri anafurajha vipi mali yake wakati hawezi kula vizuri na kunywa vizuri kwa sababu ya ubovu wa afya yake?
Huku ndio maskini wanavyojifariji 😁😁😁.

Kwa hiyo ukiwa maskini ndio una furaha au?
 
Kwanza wafanyabiashara na watumishi wanakumbuka Sana utawala wake.

Hata sisi huku Sumbawanga,Kigoma,Katavi na Ruvuma bila janja janja ya JK tungekuwa tunasugua vumbi saizi.

Natamani Samia arudishe Nchi kwenye hizo zama maana watu wanasimulia jinsi maisha yalikuwa matamu na walifanikiwa.
 
mkuu umenifanya nicheke kwa nguvu usiku huu wa manane
 

Mzee wa kubembea na BOYS TO MEN!!
 
Mara anakunya
πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…