Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

Hata ukiangalia kwa sasa wanaojifanya kumchukia Samia ndio kwanza wanamfungulia baraka.

Ukiona Mungu kampa mtu ukuu wewe kama kuna shida mkosoe na muombee,kumchukia unapoteza mda.

Pili ukishika dola kuna makosa ya kibinadamu but generally ukijitahidi kutenda haki kwa wengi Unapata thawabu ila ukiwa mkatili na kujifanya Mungu mtu inakukata mapema Sana..

Siku zote laize afare style ndio nzuri,wote waliojifanya kukaza hapa Duniani walikufa mapema Sana.
Sio kweli kuna viongozi walikuwa wanakaza lakin age ilifika had 95 exp Mugabe na Fidel Castro.
 
Na mimi naongeza tena kwa sauti kubwa HAKUNA, kala bata na anakula bata hata kumzidi Mobutu
huyu mwamba alikuwa na kitanda cha umeme unabonyeza remote kinatoka sakafuni huku kinapiga mziki,akimaliza kulala anabonyeza tena kinazama alafu panakuwa dimbwi la maji hapo sakafuni,jk bado sana kwa jamaa aliyekuwa anakodi concorde impeleke ulaya au kuleta cake tu Zaire
mtu alikua ananyea dhahabu,akimaliza ananawa mikono koki za dhahabu
IMG_3060.JPG
 
Mkwere namkubali sana ,miaka mingi nyuma alikua kipenzi cha mambo yote white house.
Sasa kashika urais,kastaafu yuko kwenye kamati 500 kidogo.
Mke kampeleka Lindi huko mkuu wa mkoa.
Riz1 kachukua wizara gani Sijui.
Nape ,Makamba jr wapo humo ni kupiga tu.
Hivi hakuna wasomi wengine zaidi ya watoto wa staafu.
Mpeni cheo cha usimamizi wa vijana japo Le mutuz awe waziri wetu.
Kikwete pumzika una kila kitu na utaongezewa ukitaka huko mbele utavarkbu sasa.
Sio kila siku agongee chai.
 
HAKUNA ALIYEKULA BATA KAMA NYERERE!
... just imagine kutawala mijinga, almost 100%! 😅
Amekula Bata sana jamaa na walikuwa wanamuogopa kushinda Magufuli, kalikuwa kadikteta fulani sema kalistukia mapema kakaona heri astaafu kwa staha maana majaribio ya kumpindua yalizidi na wazungu walishamuweka kwenye Kona.

Mtu katawala miaka 24 kudadadeki jamii ya wajinga. Kilichomsaidia hakujilimbikizia mali Ila Bata amekula.
 
Amekula Bata sana jamaa na walikuwa wanamuogopa kushinda Magufuli, kalikuwa kadikteta fulani sema kalistukia mapema kakaona heri astaafu kwa staha maana majaribio ya kumpindua yalizidi na wazungu walishamuweka kwenye Kona.

Mtu katawala miaka 24 kudadadeki jamii ya wajinga. Kilichomsaidia hakujilimbikizia mali Ila Bata amekula.
... na mali pia kajilimbikizia, unajuaje kuwa hana account za siri uswisi na kwingine huko maulaya? ... au hata hazina ya siri Butiama?
 
Mbona unaongea as if kamaliza Kula hata,
Mwanadiplomasia ngwili kila siku yupo manje huko!
Mara anakunywa kahawa na wataleban..
Mara Uswizi!
Jamani JK Mungu azidi kumbariki, mtoto Waziri, mke mbunge!

Yaani halafu Hana shombo Ka za Mkolomije!

Siyo yeye Tu hata watanzania walikula bata!
Pole Sana Tanzania yangu
 
mtaishi kwa kusifia ndio kazi zenu watanzania hamna lolote hata mkiibiwa mnasifia mkidhulumiwa mnasifia kutawala tanzania mbona rahisi sana mijitu nikusifia kubishana kumbe hata jid benz anaweza kuwa rais
 
Kuna wimbo unaitwa Money,Power,Respect wa Lox
Fist yo get money
Then you get maza f....r power
Then maza f......r guys will respect you.
What you want in life
Money Power Respect
JK got it all
Jk hajui njaa ni mdudu gani
Kubali kataa CCM ni mali ya Jk ,kinana na makamba
Jk kazunguka dunia nzima with power money and respect
Na bado anaonekana atakula hizi bata mpaka afikishe miaka 100
Ukijumlisha bata alizokula Jk hata ujumlishe marais wote tangu uhuru hawamfikii
Wanasema Jk bado unaongoza nchi gani sijui
Jk kana ni kweli mwambie mama atuachie yule DJ disco limepoa.
Mbona we ulivumilia kelele za muziki.
Inakuwaje wengine muziki uwe kelele.nadhani Mungu alikubariki sababu roho yako nyeupe huna nongwa na mtu.
God bless you Jk
Haters niueni
Hakuna wakukuua, na kawaida mtu mwenye husda mungu humpa maisha marefu ili azidi kuumia sana dhidi ya anaemhasidi
 
Back
Top Bottom