Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

Kili Paul......๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Kwanini mtu akienda Ulaya au Amerika hata kwa mwaka mmoja akirudi anakuwa kabadili lafudhi ila akienda India hata miaka 30 anarudi na lafudhi yake ileile?
 
Hata wengine wanaokwenda kutibiwa India walisema kama wewe.

Sikushangai.
Watu wengi hawana taarifa za maisha ya Nchi nyingi ndio maana utakachoongea hautaeleweka India wana vitu vya ujenzi bora sana kupita Nchi nyingi pana jamaa mmoja alianza kuleta vyoo tena vile vya kuchuchumaa ndio vilimtoa huko India mpaka wengine kuja kustukia biashara baadae sana na alikua anasota tu huko hata vitu vya watoto India wapo vizuri sana sema hizo connection wanapeana wao ila ukiweza kuishi kwao utapata kitu.
 
Punguza kujichekesha chekesha kwa emoji unapo reply comments za wanaume product ya nazi inaweza ikatumika kwenye mwili wako
Umo kichwani mwako umejaza KAMASI ๐Ÿ•ณ๏ธ๐Ÿ•ณ๏ธ๐Ÿ•ณ๏ธ๐Ÿ•ณ๏ธ

Ukijibu nakutumia ๐Ÿ๐Ÿ
 
India kuna Caste system au matabaka. Dewji ni muislamu wa Gujirati kama mabaabu zake wangeamua kubaki kule asingekuwa anamiliki hata duka.
 
India kuna Caste system au matabaka. Dewji ni muislamu wa Gujirati kama mabaabu zake wangeamua kubaki kule asingekuwa anamiliki hata duka.
Kabisa angebakia india angekuwa masikini ashukulu wazee kuja bongo
 
India sio mahala pa kwenda kusaka maisha. India nenda kibiashara. Kusaka maisha kama una fun yoyote nenda Korea kusini. Huko hata mabox tu kunafaa. Wanahitajika sana vijana huko. Nenda German hasa fun ya uuguzi,unesi. Nenda Canada fun ya uuguzi,unesi. Kama una malengo kweli miaka mitano tu utatengeneza hela ambayo kuishi kwako kote hapa nchini,maisha yako yote usipate hata robo ya hiyo hela utakayoitengeneza huko.
 
India kama unataka kufanyiwa mpango wa kuvhomolewa figo moja bila wewe kujua. Utatengenezewa ugonjwa wa kulazimishwa ukienda tu hosp mzima,unatoka ulilazwa na unaumwa na imeshonwa upande
 
India ni nchi ya 5 kwa uchumi mkubwa duniani.

Yoda T14 Armata
 
India ni nchi ya 5 kwa uchumi mkubwa duniani.

Yoda T14 Armata
Ni kweli India uchumi wake mkubwa ila tatizo la India ni idadi kubwa ya watu, pamoja na ukubwa wake wa zaid Sq milion 3.2 ina idadi ya watu zaidi ya bilion 1 na milion Mia 4.
Sasa kati ya hao kuna zaidi ya watu milion 100 ni masikini wa kutupwa hoehae sana ,yaani india ina watu masikini zaidi ya idadi ya watanzania wote.
Ile nchi ipo shaghala baghala
Tajiri namba 1 india na Asia nzima mukesh Ambani ni tajiri namba 13 duniani.
India kuna matajiri wanaishi kama ulaya ila wamezungukwa na maskini wengi sana
India kuna magari ya kifahari Tanzania hukuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ