Hivi kuna mtanzania amewahi kwenda kutafuta maisha nchini India akatoboa?

Unatoboaje kwa mfano
 
Wahindi wenyewe wanapambana kama mashujaa kwenye movie za bollywood 😑
Ila wahindi wanapamba aisee jamaa wanapiga kazi wale kama wendawazimu ukiwaona asubuhi wanavyokwenda makazini na jioni wanavyorudi walivyojazana kwenye matreni yao ya bei rahisi unaweza hisi ni wendawazimu wengine wanakaa hadi juu ya treni utafikiri hawalipi nauli
 
SURE!!!!!!! Rafiki yangu mmoja alikuwa anafanya kazi hospitali moja ya mhindi hapa Tanzania. Alimpiga dola 40,000/-akajenga nyumba nzuri baada ya mwezi ilinyumba iliuungua yote.
Wana makafara Sana ili uendane nao inabidi uwe mtu wa Imani 💯 mkristo/ muislamu safi / nguvu za mganga.

Kuna dogo waliiba pesa nyingi za muhindi waka kimbilia south Africa muhindi aka SEMA """"ʾinnā li-llāhi wa-ʾinnā ʾilayhi rājiʿūn"""

Unajua Nini kilitokea Kuna issue ilitokea ikaenda na watu Jo'burg ""AJARI YA MOTO" Inasemwa walichomwa kwa kufungiwa kwa nje kwenye jengo huko Jo'burg so wakafa ukiingia Facebook page ya MABAHARIA WA SOUTH AFRICA utaikuta story hii.

Jamaa ni watu wa makafara Sana Sanaa KUISHI now kwa akili Sana Sanaa
 
Yeah!...idadi kubwa ya watu ndio changamoto, hata kwa China pia japo kidogo wanaonekana nafuu kuliko India
 
Asilimia 80 huyo sio Muhindi as in India bali ni Mpakistan; 79.8 percent ya Wahindi ni Hindus na ulichoweka hapo ni Arabic ambayo ipo kwenye Quran; Indeed, we belong to Allah and to Him we will return.
 

Halafu jamaa hawana hata aibu wanafanya makafara yao live kabisa wenyewe wanaita ritual, sijui mila.
Mfano ukinunua kitu kwa muhindi akipokea hela kabla ya kuiweka kwenye draw anaitemea mate kwao ni kawaida. Unaweza ukaogopa kwa.mgeni.
Kule kwao mida ya mchana saa saba hadi nane Kuna maduka hawafanyi biashara sio kwamba wanafunga duka la hasha duka lipo wazi ila wanakuwa busy na kufanya mila sijui matambiko hapo ni ubani unawashwa hapohapo dukani wanafanya mila unawaona live ukitaka kitu hawakusikilizi ukiuliza kwa jirani anakwambia wanasali subiri wamalize, kwao kawaida hapa bongo ufanye hivyo utaitwa mchawi .
Kule India kuona mtu anaoga njia panda mchana hadharani ni kawaida hata hawashtuki wenyewe wanakwambia mambo ya mila .
Yaani ukienda India ukajichanganya ukaona mambo yao ya mila akiya Mungu tena huwezi kuogopa mambo ya ulozi manake mimi jinsi nilivyoona wanafanya ulozi hadharani bila hata wasiwasi.
Yaani kule kukutana na watu barabarani wa kusoma mikono kawaida unaona watu wamejipanga wanasomwa mikono na kuambiwa ishu sijui nyota zao wanalipa rupee 50 kawaida kabisa huku bongo ukifanya hivyo lazima watu wakuone mchawi.
Kule wana ziwa lao linaitwa ganges kuna visa huko , yaani kule mtu akifa wakiona ni kifo cha mkosi mwili wake unaenda kutupwa huko ili kusafisha mikosi na wenyewe wana mila zao wanakwenda kuoga kwenye hilo ziwa ili kuondoa mikosi unakuta mtu anaoga hapa kuonoa nuksi jirani kidogo kuna maiti ya mtu
Wala jamaa ni noma
 
Tulishuhudia mpaka serikali inafanya makafara yao

Huwezi amini zile ndege zao India walizonunua France walivunja Nazi kibao na Waziri Mkuu aliweka malimao chini ya matairi 😜

Matokeo yake zilitunguliwa kwenye vita ya siku moja na Mpakistani
 
Ila kujibu hoja yako
Nilienda India nikawaona Wasomali wakifanya biashara za kutuma bidhaa za kampuni ya Tata kuleta Africa
Hao watoto wa baba nawakubali sana
Wakienda mahali huwa hawahangaiki kabisa
Ni biashara tu
Wabongo labda ngada
 
Wewe ulikuwa pakstan sio india😁
 
Inategemea unafanya nini, tatizo watu wengi humu mnapenda kulelewa ndio maana mnafikiri kutafuta maisha ni kwenda sehemu tajiri ukahudumiwe.

Mfano huko India zile Hospitali ambazo wabongo wanaenda kutibiwa kuna watu wametoboa kwa kufanya biashara ya vyakula. Mtanzania akienda kutibiwa kule issue ya vyakula inakua ni tabu sana, watu wana fungua hoteli pembeni wanapika vyakula vya Africa, Wali, Ugali, mboga mboga etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…