Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Maajabu ni kwamba hata hiyo Forester kuna watu wanaiona ni takataka tu

Dunia pana sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay.

Tuchukulie mfano wa magari mawili;

1. Toyota Crown ina 300hp na dashboard mwisho ni 180kph.

2. Volkswagen Golf GT ina 200hp na dashboard mwisho ni 300kph.



Sent using Jamii Forums mobile app

Then what kwamba we utachagua vw ?? Sababu?? Au kisa dash...??

Sasa gari iwe na zaidi tani moja afu hp 200 itafikaje 300kph??

hiyo crown enyewe 300kph haitofika sembuse ka golf
 
Car enthusiasm deals with psychological point of view....
Naona wengi mnabisha Foresta mara Brevis.

Nakuhakikishia kuna mtu ana Passo yake ya piston 3, anaikubali na hizo Brevis na Subaru anaona ni takataka tu.....Ndiyo psychology yake imeegemea upande huo....na kimsingi yupo sahihi..

Point yangu hapa ni kwamba unachokikubali wewe, usilazimishe kila mtu akikubali.... regardless kina performance kubwa kiasi gani..

Gari ni kama mwanamke...Yule mwanamke unayeona ndiyo mzuri sana, unamzimia sana, ana vigezo vyote unavyovipnda....hakika kuna mtu anamuona takataka tu....anamuona hana hadhi hata ya kuwa mpishi wa chakula cha mbwa wake.

La mwisho, mnaofananisha brevis na Foresta mnakosea sana.....hizo ni gari mbili ambazo hazipo kwenye category moja....

Hivyo mtakuwa hamfanyi fairly comparisons..
Lastly, both Brevis and Foresta are great cars..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu ni objective na vingine ni subjective, this is Objective
 
Wataalamu wa huu uzi nitawatumia mwezi wa 11 baada ya kuwa mbunge,kunichagulia VXR ipi ni nzuri.
 
Huwezi kulinganisha foresta na brevis mzee, foresta habari nyingine, tatizo mnaanzisha ligi na watu wasio na habari na ligi yenu uko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vipi ile Subaru GVB unaizungumziaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…