Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay.Umetumia Kiswahili lkn sijaelewa embu badili lugha tumia englisha kama hutojali
Okay.
Tuchukulie mfano wa magari mawili;
1. Toyota Crown ina 300hp na dashboard mwisho ni 180kph.
2. Volkswagen Golf GT ina 200hp na dashboard mwisho ni 300kph.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subaru ni mnyama gani? Ngedere labda...Mkuu hapo kwa mnyama baru hafui dafu aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu ni objective na vingine ni subjective, this is ObjectiveCar enthusiasm deals with psychological point of view....
Naona wengi mnabisha Foresta mara Brevis.
Nakuhakikishia kuna mtu ana Passo yake ya piston 3, anaikubali na hizo Brevis na Subaru anaona ni takataka tu.....Ndiyo psychology yake imeegemea upande huo....na kimsingi yupo sahihi..
Point yangu hapa ni kwamba unachokikubali wewe, usilazimishe kila mtu akikubali...
To buy which car?
Daah kwa kweli.
Siku moja nami nitakuwa na cha kuchangia kwenye nyuzi kama hizi...
Brevis inaiachs forester turbo charger ?Hivyo vi-Forrester huwa navidhalilisha daily, sasa sijui ni takataka ipi unayozungumzia..., hahahaha, ohujakutana na mimi labda..., i get insanely obsessed ukini-offend in any way..., the only way utaniweza ni kama utamaintain above 180kph throughout...
Hivyo vi-Forrester huwa navidhalilisha daily, sasa sijui ni takataka ipi unayozungumzia..., hahahaha, ohujakutana na mimi labda..., i get insanely obsessed ukini-offend in any way..., the only way utaniweza ni kama utamaintain above 180kph throughout...
Daily, kama mkate mbele ya chai..., aliyekwambia siwezi funga turbo kwenye 1Jz ni nani?Brevis inaiachs forester turbo charger ?
Kidukulilo uzi kama huu hawezi comment sababu vyombo vya usafiri vilivyotumika hajawai tumia
Brevis inaiachs forester turbo charger ?
Mkuu vipi ile Subaru GVB unaizungumziajeElimu elimu elimu...
Gari uliotaja ina cc2000 kavu ina 177hp si kitu kwa brevis yoyote ..then yenye turbo inatoa kitu kama 225hp hii ni sawa na ijz ya kawaida...sasa unasemaje hiyo forester inakimbia au ndo mmecremishwa subaru zote zinakimbia......aleast ungesema impreza wrx ile yenye 280hp ila si forester original labda uiboost