Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Nimekupa mfano tu wa forester xt , wewe na ki brevis chako kashindane na kina verosa huko au markx ukija kwa wazungu utakaa mapema tu, yaani nipo na VW Toureg ulete ligi na mimi???wiki iliyopita nilikuwa naenda dodoma nilikuwa na Nissani navara jamaa wa markx akataka kuleta ligi nilicho mfanyia hatakaa asahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka juzi nimetoka nalo mbezi saa 5 usiku nimefika moshi saa kumi na nusu hivi nimembeba mgonjwa na kugeuka saa 11 alfajiri saa saba kasoro mchana niko mhimbili getini kwenye foleni ya kuingia. Huwezi amini hakuna mtu aliamini.
 
Nimekupa mfano tu wa forester xt , wewe na ki brevis chako kashindane na kina verosa huko au markx ukija kwa wazungu utakaa mapema tu, yaani nipo na VW Toureg ulete ligi na mimi???wiki iliyopita nilikuwa naenda dodoma nilikuwa na Nissani navara jamaa wa markx akataka kuleta ligi nilicho mfanyia hatakaa asahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Dereva wa mark x ni mpumbavu namba moja duniani toka lini hicho kigari kinaweza kufanya ligi na nissan Navara,
Barabaran kuna shida Sana hasa wenye vigari vidogo
 
What matters is who is behind the wheel...!

Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
Ni moja ya kigezo ila kwa uwezo wa brevis ukilinganisha na vw gti hata ujue vipi bado utaona upungufu wa toyota.. kwa mtu ambaye si mtaalam wa engine mpe facts 2 tu zitamtosha

1. Acceleration.. golf 0-100kmp in 6.3 seconds per minute.... brevis 0-100kph in 8 seconds.. hapo bado sijakumaliza na speed.

2. Speed.. golf 280kmp brevis 180kmp..

Golf inawahi kuinuka na kuchanganya kuliko brevis.. Hata kwenye racing hizo factors 2 ndizo zinaangaliwa sana..

Sent using Samsung S6 Edge
 
Nimekupa mfano tu wa forester xt , wewe na ki brevis chako kashindane na kina verosa huko au markx ukija kwa wazungu utakaa mapema tu, yaani nipo na VW Toureg ulete ligi na mimi???wiki iliyopita nilikuwa naenda dodoma nilikuwa na Nissani navara jamaa wa markx akataka kuleta ligi nilicho mfanyia hatakaa asahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo zote huwa nadhalilisha daily..., sijui hivyo vigari kwanini vinakuwa nyoro mbele ya mnyama..., 😄😄😃😅
 
Back
Top Bottom