myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa...
Ila hii gari ni ya kudownloadUtakuwa mgeni wa magari mzee.. Tenga muda cku moja nikupe free ride na VOLKSWAGEN GOLF GTI.. 296 HP
Dash board yangu speed limit inasoma 280 kph.. Brevis yako inasoma ngapi mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ndio JF hii....hakuna mnyonge humu wengine magari wanaendesha kwenye magame tu ya computer sema sasa humu balaa lake zito
Huu ndo unaitwa Uchawi uliokuwa na chembechembe za wivu na unafiki tena uliobase kwenye Roho mbaya.Mkuu ndio JF hii....hakuna mnyonge humu wengine magari wanaendesha kwenye magame tu ya computer sema sasa humu balaa lake zito
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Mark X bado zipo ?Mkipata na ajali uje utupe na mrejesho.
Mkipata na ajali uje utupe na mrejesho.
Mbwembwe zooote hizo nilidhani F. full tank nakuja angalia geji hapo naona mshale ndio unakaribia E . emte[emoji1][emoji1]
Huyo Dereva wa mark x ni mpumbavu namba moja duniani toka lini hicho kigari kinaweza kufanya ligi na nissan Navara,Nimekupa mfano tu wa forester xt , wewe na ki brevis chako kashindane na kina verosa huko au markx ukija kwa wazungu utakaa mapema tu, yaani nipo na VW Toureg ulete ligi na mimi???wiki iliyopita nilikuwa naenda dodoma nilikuwa na Nissani navara jamaa wa markx akataka kuleta ligi nilicho mfanyia hatakaa asahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap ni ya ku download mkuu.. hujakosea kabisa.. Picha ni kuinyesha mfano kwa wasioifahamu hii gari.
Ni moja ya kigezo ila kwa uwezo wa brevis ukilinganisha na vw gti hata ujue vipi bado utaona upungufu wa toyota.. kwa mtu ambaye si mtaalam wa engine mpe facts 2 tu zitamtoshaWhat matters is who is behind the wheel...!
Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
Hizo zote huwa nadhalilisha daily..., sijui hivyo vigari kwanini vinakuwa nyoro mbele ya mnyama..., 😄😄😃😅Nimekupa mfano tu wa forester xt , wewe na ki brevis chako kashindane na kina verosa huko au markx ukija kwa wazungu utakaa mapema tu, yaani nipo na VW Toureg ulete ligi na mimi???wiki iliyopita nilikuwa naenda dodoma nilikuwa na Nissani navara jamaa wa markx akataka kuleta ligi nilicho mfanyia hatakaa asahau
Sent using Jamii Forums mobile app