Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

Hivi kuna mtu aliwahi kufanya ligi na Brevis AI 300 na akaishinda kweli? Mbona vigari vinakuwa uji sana mbele ya huyu mnyama?

FRANCIS DA DON, Aisee haya magari ya toyota ya kuanzia mwaka 2004 na kuendelea ni malaini kuliko mabati ya kuezekea nyumba...

Si kwamba naongea kwa ubaya, lakini kampuni nyingi za japan kwa sasa Toyota anatisha kwa kutengeneza magari malaini bodi...

sasa kwa speed hizo ikishakuua pia usisahau kutuandikia uzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo

Sent using Jamii Forums mobile app

Elimu elimu elimu...

Gari uliotaja ina cc2000 kavu ina 177hp si kitu kwa brevis yoyote ..then yenye turbo inatoa kitu kama 225hp hii ni sawa na ijz ya kawaida...sasa unasemaje hiyo forester inakimbia au ndo mmecremishwa subaru zote zinakimbia......aleast ungesema impreza wrx ile yenye 280hp ila si forester original labda uiboost
 
Back
Top Bottom