Mmmm kuna wapemba walikimbilia kyela miaka 40 sasa hakuna hata mmj ali badilishaa .?? Au watoto wao kina Asukile Fakhii Haji?Mpemba mkristo hayupo
Machame wamejaa waislamWapo sema kwa uchache, hata hao wachaga na wanyakyusa wapo pia waislam ila kwa uchache, Kuna kijiji kinaitwa marangu nilikitembelea nikakuta misikiti
Yeah msikiti upo kalali kule juu.Machame wamejaa waislam
Wapo wengi sana bila ya kusahau kipindi cha ukoloni shule nyingi zilikuwa za kanisa kwahiyo mchanganyiko wa dini upo ,kama watu walivyoshangaa kukuta jasusi kitine muislamu wakati anatokea sehemu ambayo haina asili na uislamuNimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Wachaga waislamu wengi sana ila wanyakyusa na wahehe ndio shidaWapo sema kwa uchache, hata hao wachaga na wanyakyusa wapo pia waislam ila kwa uchache, Kuna kijiji kinaitwa marangu nilikitembelea nikakuta misikiti
Msichanganye mafaili. Wapare wengi kule ndio Waislamu ,ila wachaga ni kama hakuna tu maana katika wachaga 100,000 ndio unaweza kukuta muishamu mmoja tuWachaga waislamu wengi sana ila wanyakyusa na wahehe ndio shida
Wanyakyusa waislam wengi tu,Kuna msikiti unyakyusani una miaka 90+We jamaa umemsahu ndugu yangu muislamu mnyakyusa Shehe Mwaipopo
Wa kutosha tu,unajua dini kabla ya ukoloni ilikua uislam tu tz,ila walilala,hawakuwa na mission ya kuienezaHivi na mkoa wa Mara kuna Waislamu kweli