Ni Wageni tu ndiyo wanaswalina sina uhakika kama wanaoswali humo ni wabena n
Kwani kuna koloni la Mwarabu?Sijaelewa kwamba dini kabla ya wakoloni ilikuwa uislam tu.
Kwani uislamu uliletwa na nani Tz ?
Hahaha!Hizi mada zenu sijui zinataka kutufundisha nini kwenye hii karne ya 21!
Bado kuna mwingine atakuja kuuliza kama amewahi kumuona Mmasai ambaye ni Sheikh, au Mmasai aliyevaa hijjab!!
Yaani Mmasai anaitwa Sheikh Mahmoud Ole Laizer! Au Bi Aisha Ole Sendeka!
Na mwarabuSijaelewa kwamba dini kabla ya wakoloni ilikuwa uislam tu.
Kwani uislamu uliletwa na nani Tz ?
Hiyo picha nayakwako ?, naona pc moja kali sana!!Na mwarabu
Marehemu mke wanguHiyo picha nayakwako ?, naona pc moja kali sana!!
Pia kwa Sadala na Masama wiliya ya Hai ni wengi sana
Kabisa mkuuPia kwa Sadala na Masama wiliya ya Hai ni wengi sana
Ila wapo kwa kiasi chakeWachaga waislamu wengi sana ila wanyakyusa na wahehe ndio shida
Na wanaongezeka kadri siku zinavyoendaMachame wamejaa waislam