gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Machame waislam wengi tuMsichanganye mafaili. Wapare wengi kule ndio Waislamu ,ila wachaga ni kama hakuna tu maana katika wachaga 100,000 ndio unaweza kukuta muishamu mmoja tu
Machame waislam wengi tuMsichanganye mafaili. Wapare wengi kule ndio Waislamu ,ila wachaga ni kama hakuna tu maana katika wachaga 100,000 ndio unaweza kukuta muishamu mmoja tu
Watu wanabadili dini mkuuNimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Wahehe waislam wengi tu tofauti na watu wanavyodhani,iringa siyo mkoa wa wahehe tuWachaga waislamu wengi sana ila wanyakyusa na wahehe ndio shida
Kama umesoma mzumbe kuna madokta wawili waislamu sala tano tena wote wamachameMsichanganye mafaili. Wapare wengi kule ndio Waislamu ,ila wachaga ni kama hakuna tu maana katika wachaga 100,000 ndio unaweza kukuta muishamu mmoja tu
Yupo anaitwa John MakameMpemba mkristo hayupo
Hivi Kuna mmasai, mpate au muirak muislamu?Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Mpaka wachungaji na ma padre wapoNimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Na ndio maana wengi wa makabila hayo ni maskini,wajinga na ndio vinara wa kutikisa matako na ushogaNimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Nipo bhanaMpemba mkristo hayupo
Pia kwa Sadala na Masama wiliya ya Hai ni wengi sanaWapo sema kwa uchache, hata hao wachaga na wanyakyusa wapo pia waislam ila kwa uchache, Kuna kijiji kinaitwa marangu nilikitembelea nikakuta misikiti
HaaaaaaaahHizi mada zenu sijui zinataka kutufundisha nini kwenye hii karne ya 21!
Bado kuna mwingine atakuja kuuliza kama amewahi kumuona Mmasai ambaye ni Sheikh, au Mmasai aliyevaa hijjab!!
Yaani Mmasai anaitwa Sheikh Mahmoud Ole Laizer! Au Bi Aisha Ole Sendeka!
Bi Aisha ole sendekaHizi mada zenu sijui zinataka kutufundisha nini kwenye hii karne ya 21!
Bado kuna mwingine atakuja kuuliza kama amewahi kumuona Mmasai ambaye ni Sheikh, au Mmasai aliyevaa hijjab!!
Yaani Mmasai anaitwa Sheikh Mahmoud Ole Laizer! Au Bi Aisha Ole Sendeka!
Uzaramuni burudani sana, vijiji vilivyo pembeni kidogo, huko vijiji viwili vina kanisa Moja na Kijiji kimoja kina misikiti mitatuNimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
🤭🤣Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Mimi hapa Mzaramo.Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Kilimanjaro machame Muslim wapo wengiKama umesoma mzumbe kuna madokta wawili waislamu sala tano tena wote wamachame
Nilifika Bukoba mjini ile mitaa ya CRDB kushuka chini kote huko unakuta Wahaya waislamu wengi tu na hadi wanauza zile dawa za ki-Sunna.usiombe ukutane na izo jamii zenye waamini wachache ivo. wanakuwaga kindakindaki kwelikweli ccm wenyewe wakasome. umewahi kuona mhaya kobazi?