Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
kwenda mbinguniKwani ukristo au Islam huwa unasaidia nini
kwenda mbinguniKwani ukristo au Islam huwa unasaidia nini
Si waende na SGRkwenda mbinguni
😂😂😂Si waende na SGR
Kuna clip nakutafutia ,kuna masai anatangaza uislamu kabisa
View: https://youtu.be/zavSRYTX_S4?si=ACdKW-FzE1BEXOUY
Sheikh Mwaipopo ni maarufu sana, unadhani ni mkwere?Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Nenda Machame kwa Kirama ukakutane na Wachaga Waislamu. Kuna kitabu kimeandikwa kuhusu historia ya Uislamu Uchagani.Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Yani dini yao ndo inawafanya wawe masikini?? Basi kama ndo hivyo Brunei 🇧🇳 wangekuwa masikini mana nchi nzima waiislam.. we itakuwa huipendi tu hiyo diniNa ndio maana wengi wa makabila hayo ni maskini,wajinga na ndio vinara wa kutikisa matako na ushoga
😂😂Sawa mkuu shukran kwa video murua kabisa.Ila nasisitiza kwamba ni uongo na hakuna kitu utanifanya mkuu ,kama vipi njoo kimara hapa unipige sasa 🤣🤣🤣
Hiyo historia yako inayosema watanganyika kabla ya 1900 asilimia karibu 80 walikuwa waislam siyo kweli kabisa.Ukifuatilia history vizuri ya hii nchi utagunduwa kabla ya 1900 asilimia zaid ya 80 ya watanganyika na wazanzibar walikuwa waislamu. Wakristo wengi ni wahamiaji tu.
Mpaka sasa mikoa mingi ukitembelea utakuta sehemu zenye wakazi wa muda mrefu au wenyeji asilimia kubwa wakazi hao ni waislamu.
Nakilimanjaro inaonekana kuwa na Wakristo wengi sababu mbili
1. Asili ya wachaga wengi ni jamii ya kenya..
2. Utata wa chief Mangi ulifanya ngum sultan kupeleka dini kule.
Ila sehemu za karibu zilizofikiwa zilikuwa na jamii ya wapare wengi ni waislamu
Ungeijua Mwanerumango Kisarawe usingeuliza swali hili, kilikuwa kituo kikubwa cha KKKT Pwani.Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Huyo Mwaipopo yupo pale kimaslahi zaidi, kama wanyakyusa wengine tu waliojikita kwenye uchungaji na uimbaji wa nyimbo za injiliWe jamaa umemsahu ndugu yangu muislamu mnyakyusa Shehe Mwaipopo
Tarakea Rombo Kilimanjaro wapo waisilamu wengi tu, tena wale wa gubigubi mpaka kitandani.Wachaga waislamu wapo tena bwana wachaga waislamu wanafanya Ibada kweli.
Pale Mbeya mbona waislamu wanyakyusa wapo wengi tu.
Wazaramo na wakwere wakristo wapo wengi sana, ila Kwa wandengereko watakuwa wachache sana aisee, binafsi sijawahi kuona.
ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
🤣🤣🤣🤣Hizi mada zenu sijui zinataka kutufundisha nini kwenye hii karne ya 21!
Bado kuna mwingine atakuja kuuliza kama amewahi kumuona Mmasai ambaye ni Sheikh, au Mmasai aliyevaa hijjab!!
Yaani Mmasai anaitwa Sheikh Mahmoud Ole Laizer! Au Bi Aisha Ole Sendeka!
na sina uhakika kama wanaoswali humo ni wabena nNjombe Kuna misikiti miwili tu mkoa mzima
Wapo ndio maana Kanisa la Azania Front lipo,na st Joseph na kanisa a BagamoyoNimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Wewe unazungumzia karne ya mbali sana, Uislamu maeneo ya pwani umeingia since miaka ya 700.Hiyo historia yako inayosema watanganyika kabla ya 1900 asilimia karibu 80 walikuwa waislam siyo kweli kabisa.
Wengi walikuwa wapagani yaani wakifanya tambiko kuomba mizimu au mababu zao wsliokufa.
Uislam ulikuwa Pwani tu na sehemu chache bara ndani zaidi Kama Tabora, Kigoma na Kanda ya Kati kidogo Sana.
Ushahidi wa haya no misikiti iliyojengwa kipindi hicho.
Hata pwani yenyewe ni maeneo ya karibu na bahari tu.
Wa kutosha tu,unajua dini kabla ya ukoloni ilikua uislam tu tz,ila walilala,hawakuwa na mission ya kuieneza
wapo wengi tuNimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo