Dini kabla ya ukoloni? Acha ujinga bas wewe kichaa niniWa kutosha tu,unajua dini kabla ya ukoloni ilikua uislam tu tz,ila walilala,hawakuwa na mission ya kuieneza
Haahaa apo lazma undevu umepigwa bleach flan rangi ya ubao😆Nilifika Bukoba mjini ile mitaa ya CRDB kushuka chini kote huko unakuta Wahaya waislamu wengi tu na hadi wanauza zile dawa za ki-Sunna.
Watu hawatembei ndo maana wanakuja na na haya maswali.Pia kwa Sadala na Masama wiliya ya Hai ni wengi sana
Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Nenda kwenye facebook tafuta jina la Lion Mangole ni Mchungaji mtu wa pwaniNimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Wako wengi sana ,kuna yule shekhe aliyesema peponi hawaingii watu wafupi ni mhaya yule.usiombe ukutane na izo jamii zenye waamini wachache ivo. wanakuwaga kindakindaki kwelikweli ccm wenyewe wakasome. umewahi kuona mhaya kobazi?
Wapo tena wanafundisha kabisa Qur an ,kuna mmoja anatrendNionyesheni mmasai muislamu niwaonyeshe ng'ombe anayeendesha v8 la slowslow 🤣🤣
Ukweli mtupu , wakristo walikuja miaka ya mwishoni.Ukifuatilia history vizuri ya hii nchi utagunduwa kabla ya 1900 asilimia zaid ya 80 ya watanganyika na wazanzibar walikuwa waislamu. Wakristo wengi ni wahamiaji tu.
Mpaka sasa mikoa mingi ukitembelea utakuta sehemu zenye wakazi wa muda mrefu au wenyeji asilimia kubwa wakazi hao ni waislamu.
Nakilimanjaro inaonekana kuwa na Wakristo wengi sababu mbili
1. Asili ya wachaga wengi ni jamii ya kenya..
2. Utata wa chief Mangi ulifanya ngum sultan kupeleka dini kule.
Ila sehemu za karibu zilizofikiwa zilikuwa na jamii ya wapare wengi ni waislamu
Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.
Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Uongoooo nimekataa🤣🤣Wapo tena wanafundisha kabisa Qur an ,kuna mmoja anatrend
Kuna clip nakutafutia ,kuna masai anatangaza uislamu kabisaUongoooo nimekataa🤣🤣
Mwaka juzi nilikuwa Dodoma, Masjidi Kikuyu west uliopo kikuyu, walikuja wamasai kwa maswala ya kidini. Ilikuwa first time mikuona. And weird nikwamba walikuwa wanajua dini kabisaaUongoooo nimekataa🤣🤣