Hivi kuna Mzaramo , Mkwere au Mndengereko ambaye ni Mkristo

Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.

Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Sheikh Mwaipopo ni maarufu sana, unadhani ni mkwere?
 
Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.

Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Nenda Machame kwa Kirama ukakutane na Wachaga Waislamu. Kuna kitabu kimeandikwa kuhusu historia ya Uislamu Uchagani.

Nenda Kisarawe Lutheran Seminary kwa kina Chanzi ukaone Wazaramo Wakristo waliojenga makanisa ya Kilutheri Dar tangu enzi za utawala wa Mkoloni.

Unafikiri makanisa kama Azania Front yamejengwa na nani?
 
Na ndio maana wengi wa makabila hayo ni maskini,wajinga na ndio vinara wa kutikisa matako na ushoga
Yani dini yao ndo inawafanya wawe masikini?? Basi kama ndo hivyo Brunei 🇧🇳 wangekuwa masikini mana nchi nzima waiislam.. we itakuwa huipendi tu hiyo dini
 
Sawa mkuu shukran kwa video murua kabisa.Ila nasisitiza kwamba ni uongo na hakuna kitu utanifanya mkuu ,kama vipi njoo kimara hapa unipige sasa 🤣🤣🤣
😂😂
 
Hiyo historia yako inayosema watanganyika kabla ya 1900 asilimia karibu 80 walikuwa waislam siyo kweli kabisa.
Wengi walikuwa wapagani yaani wakifanya tambiko kuomba mizimu au mababu zao wsliokufa.
Uislam ulikuwa Pwani tu na sehemu chache bara ndani zaidi Kama Tabora, Kigoma na Kanda ya Kati kidogo Sana.
Ushahidi wa haya no misikiti iliyojengwa kipindi hicho.
Hata pwani yenyewe ni maeneo ya karibu na bahari tu.
 
Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.

Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Ungeijua Mwanerumango Kisarawe usingeuliza swali hili, kilikuwa kituo kikubwa cha KKKT Pwani.
 
We jamaa umemsahu ndugu yangu muislamu mnyakyusa Shehe Mwaipopo
Huyo Mwaipopo yupo pale kimaslahi zaidi, kama wanyakyusa wengine tu waliojikita kwenye uchungaji na uimbaji wa nyimbo za injili
 
Tarakea Rombo Kilimanjaro wapo waisilamu wengi tu, tena wale wa gubigubi mpaka kitandani.
 
Muarabu aliwahi Pwani kipindi kile anasaka watumwa, hivyo asilimia kubwa ya Wapwani wapo kwenye hiyo dini ya muarabu.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Nimejikuta nikiwaza tu kama nilivyokuwa nawaza kama kuna Mchaga au Mnyakyusa ambaye ni Muislam.

Ninachoamini ni kwamba hakuna Mpemba Mkristo
Wapo ndio maana Kanisa la Azania Front lipo,na st Joseph na kanisa a Bagamoyo

Hata Zanzibar wapo wakutosha.
 
Wewe unazungumzia karne ya mbali sana, Uislamu maeneo ya pwani umeingia since miaka ya 700.
Mimi nakwambia karne ya 19
 
Wa kutosha tu,unajua dini kabla ya ukoloni ilikua uislam tu tz,ila walilala,hawakuwa na mission ya kuieneza

Sijaelewa kwamba dini kabla ya wakoloni ilikuwa uislam tu.

Kwani uislamu uliletwa na nani Tz ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…