Hivi kuna Mzaramo , Mkwere au Mndengereko ambaye ni Mkristo

Mm nilikuwa na demu mndengereko mkristo mbona wapoo
 
Hahaha!
Mkuu, wamasai na mang’ati wanabatizwa majina ya kina Ramadhan, Aisha wakifika Pwani.
 
Ohhhh.!!! Pole sana, hakika alikuwa anavutia kumtazama, Mungu akupe alie zaidi, kama unae tayari, basi ajaalie upendo mara dufu
 
Hizi dini zimetengeneza tatizo ambalo hatuwezi kulivua zinachangia africa tusiwe na technology wala kufanya riserch za madawa 99% garbage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…