spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
MkuuNajua, ila sipendi tu kuwa na kipara.
Piga kipara tuKuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)
Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga?
Je, kuna supplement ya kuotesha nywele?
Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza kama wa Magufuli?
Naombeni ushauri kwa wanajua namna bora ya kuotesha nywele, au kuepukana na uwalaza!
View attachment 3691312
Yaani nije niwe kama huyu mwamba kweli? 😂
Aisee... Msaada tafadhali wakuu, pesa yenyewe sina, uwalaza wa nini tena kwenye maisha yangu?
Hata mimi ninacho na na dalili zilianza nikiwa na umri kama huo...usiwaze utazoea na kuona kawaida.Aisee
Duniani kila kitu kinafanyika, wewe uza moja utapata hela ya kuotesha nywele na chenchi inabaki.Hapana watu wengine wanapenda ila mimi sipendi kwa kweli
Wewe unadhani Rais hakuwa na pesa na hizo Dawa hakujua?Kuna kitu kinanipa wasi wasi sana, nina miaka 29 na ni naona dalili za kuja kuwa na uwalaza yaani(kipara au wanga)
Je, kuna njia yoyote ya kusaidia kuotesha nywele au nifanye njia gani kuepuka wanga?
Je, kuna supplement ya kuotesha nywele?
Au ndo unikubali kuwa Nitakuja kuwa na uwalaza kama wa Magufuli?
Naombeni ushauri kwa wanajua namna bora ya kuotesha nywele, au kuepukana na uwalaza!
View attachment 3691312
Yaani nije niwe kama huyu mwamba kweli? 😂
Aisee... Msaada tafadhali wakuu, pesa yenyewe sina, uwalaza wa nini tena kwenye maisha yangu?
Air transplant kwa hapa Tanzania ipo na wanauzoefu kweli..Mara nyingi ni athari moja wapo ya kua na testosterone nyingi
Utajuaje kama unazo nyingi ni kua na hairly body beards na makunyanzi muda mwingine
Kuzuia au kupunguza zipo njia moja ni matumizi ya MINOXIDIL ingawa kibongo bongo sijui kama zipo genuine ama la last summer nilikua mahala duniani zinapatikana genuine na ni proved kupunguza kasi ya alopecia
Pia unaweza fanya hair transplant kamanda