Hivi kuna namna ya kuotesha nywele kwa wenye uwalaza?

Tumia Kirkland.

Kikubwa ni consistency na Discipline. Matokeo una yaona.

Una bando utaniuliza Kirklannd solution ni nini? Utakuwa hauko serious
 
Vaa mawigi kama dada yako.
 
Nilisha ona clip moja, jamaa alikuwa nalo, ila alikuwa mzungu na nywele zimekaa kizungu!! Sasa kwa sisi waafrika na nywele zetu kweli yapo??

Na yale huwa yanakuwa na gundi, likikaa mda mrefu na joto hili la bongo hayaleti shida kweli?
Yapo yakipilipili hayana shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…