yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Mimi pafyumu mwisho ni 30,000.Hapa sisi watumiaj wa perfume za buku tano tano tunaruhusiwa kucomment?
Ooh WOW ASanteGucci flora, my way, au kamix ukipata wanaomix vizuri unapata harufu unique
Enough! ASante!UR WAY, INTENSE PEACH, MY SOULMATE, LADY PRESIDENTE, EXTREMELY UNIQUE, YARA, HER MAJESTY, PURE XS WOMAN. Hizo zinatosha au niongeze?
Bei gani ?Kuna moja inaitwa "Yara" nzuri sana
Ooh no thanks,,, sivipendi hiyo sare ya machiziKurusumu mkuu, hutojutia
Za kupima zile bukuu nzuriiiiiMi natamba na Fog ya 10000 huo mtaji sio poa ๐๐
Nazipata wapi hizi maana nasikia TU za kupimaZa kupima zile bukuu nzuriiiii
Mitaani kibaooo, kkooo kule ndo balaa, sinzaa huko zimejaaa.....mbna kibao tu hta mangi nahisi anazo sahivii๐๐Nazipata wapi hizi maana nasikia TU za kupima
50K tuBei gani ?
Poa nikipita kariakoo nitaangalia ili ninukie vedi #fake till I make it๐๐Mitaani kibaooo, kkooo kule ndo balaa, sinzaa huko zimejaaa.....mbna kibao tu hta mangi nahisi anazo sahivii๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mbwiga mmoja aliwahi kunitumia zawadi ya perfume kumbe inauzwa laki nane dukani,nilikuwa najipulizia huku nataka kulia
Poa nikipita kariakoo nitaangalia ili ninukie vedi #fake till I make it๐๐
Kuruthumu Ile kitu sio hata kwa ngumi sipaki dah ๐ni Kali hatari Bora nibaki fogSema zile za bei ghali zina unyama flani hiviii....tutafute tu mapeneee aloo huku tunafwaa fwaaa na kuruthumuuuu ya bukuu๐
Huyu apumzike sahivi....tuhamie kwa hawa wapendwa wetu wa kumimina kama juisi ya muwa kwa bukuu๐๐๐Kuruthumu Ile kitu sio hata kwa ngumi sipaki dah ๐ni Kali hatari Bora nibaki fog
Inaitwa ELOPEMimi sio mpenzi wa haya madubwana kabisa ila nimewahi kukutana na binti mmoja Arusha alikua ananukia marashi poa sana hadi nikavutiwa
Nilipo muuliza jina na marashi haya akasema ina ALOPE kama sijakosea jina
Bado naitafuta hiyo perfume ya Alope na sijui ntaipata wapi na bei zake zipoje?
Tatizo sio perfume ya laki 3 ,tatizo anafanya nini kwenye daladala na perfume ya laki 3๐bora angejichanga anunue hata ki baby walkerPerfume laki tatu!!! Aaaah jamani๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Wanaonunua hizo hawapandi daladala.Tatizo sio perfume ya laki 3 ,tatizo anafanya nini kwenye daladala na perfume ya laki 3๐bora angejichanga anunue hata ki baby walker
Kumbuka pia kwamba uzuri wake pia unategemea hali ya hewa..uliona mzuri Arusha (kuna baridi) lakini ukija kuitumia Dar isiwe hivyo(joto kali)Mimi sio mpenzi wa haya madubwana kabisa ila nimewahi kukutana na binti mmoja Arusha alikua ananukia marashi poa sana hadi nikavutiwa
Nilipo muuliza jina na marashi haya akasema ina ALOPE kama sijakosea jina
Bado naitafuta hiyo perfume ya Alope na sijui ntaipata wapi na bei zake zipoje?
hela yote hiyo afu unapanda mwendo kasi tena!Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe nikikutana na watoto wa kishua hawaachi kuniuliza unyunyu unaitwaje
Juzi nimepanda zangu mwendokasi nilikaa na pisi kali full mikausho nashangaa pisi inataka namba yangu nikaikumbuka ile ngoma ya Josline (wanaizimika yangu perfume)
View attachment 3137303