Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

Weka harufu yake tucomment
 
Kuna baadhi ya wanaume tunakutana nao barabarani wananukia njia zima .

Kiukweli bado sijapata jibu sahihi kwa nini mwanaume anukie kiasi hicho 🤔🤔🤔
Ukipishana na mwanaume ana harufu ya kukera ndio unaona sawa? Au na hii majibu huna??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…