Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

JISIEMU NDIO WALE NYUMBANI DUKANI SENTA wakwepa kodi kipindi cha mkwere
ENDI OFU ZE STORI
Hao nyumbani dukani senta si wamebadilishia gia hewani,na sasa wanatumia jila boss vifupisho vyake vitatu...
Hii purely money laundering cz hao senta,walishataitiwa wakaamua kujitangaza mufilisi ss wanakuja na gia ya misaada!Ila ngosha anawalia timing tu
 
Yani ww una ww una roho mbaya kama scorpion...roho mbaya
 
Hata kama Said alimkosea scorpion hakustahili adhabu ya kung'olewa macho, yes acha wenye imani zao wamsikitikie wamlilie wewe unayehisi watu wanazidisha kipimo cha kumlilia endelea tu kufanya mambo yako mkuu
 
Kwa hili ngoja niwe na akiba ya maneno!!
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mbona Mussa Tesha wamembwaga na hawampatii sapoti kama huyu?
 
Hata kama Said alimkosea scorpion hakustahili adhabu ya kung'olewa macho, yes acha wenye imani zao wamsikitikie wamlilie wewe unayehisi watu wanazidisha kipimo cha kumlilia endelea tu kufanya mambo yako mkuu
Macho kitu kingine bora angemfanya ata kuwa mlemavu wa miguu ata kama wana visasi vyao Mungu amtie nguvu uyu kaka
 
GSM ni mtandao mkubwa sana ambao Riz 1 ana uswahaba, walifilisika mwishoni mwa utawala wa Msoga na wakafufukia GSM........
 
aah timing imechelewa jamaa wamebadili gia angani subiri utaelewa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…