Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Mi nachoshukuru ni kuwa Makonda anafanya vyema sana...hatutakiwi kuhoji ilikuaje jamaa akatobolewa macho.

Ili linaweza kumtokea yeyote yule despite anything.

Kuhusu ili la gsm ni kweli jamaa wanajitolea sana kwenye jamii mpaka sasa wameshiriki kuokoa uhai wa watoto wengi wa nchi yetu waliokua wana tatizo la vichwa vikubwa.operation ambazo either wazazi wa kitanzania wa watoto hao ingewachukua muda kufanikisha zoezi hilo.

Kwa hili nawashukuru sana.
Haya mengine ya kuconnect Dots nawaachia great thinker wenzangu wadadavue.

Imani inanuzuia kumjadili yule anaetumia uwezo wake kusaidia maskini.

Ni Mungu pekee ndie ajuaye connection ya gsm na fedha zao.


Glory to GOD
Kwanini unasema hatutakiwi kuhoji ilikuwaje akatobolewa macho?
 
Mbona Mussa Tesha wamembwaga na hawampatii sapoti kama huyu?
Musa Tesha ilikuwa ni Project ya boss wa mambo ya ndani ya nchi.

Is irrelevant now anyway, uchaguzi wa Igunga ulishakwisha, imekula kwake.

Mjanja ni yule aliyekubali kuchomewa banda lake na Wilson Mukama akavuta mpunga kesho tunaoneshwa vidiu ati Cjadema imeingiza magaidi kutoka Afghanistan!!

Ati magaidi wamechoma banda la kuku wakaiacha nyumba na mwenye nyumba salama salimini.
 
Kama atajibu basi atasema anataka aweke ALAMA ya kuzimu bila shaka
 
Musa Tesha ilikuwa ni Project ya boss wa mambo ya ndani ya nchi.

Is irrelevant now anyway, uchaguzi wa Igunga ulishakwisha, imekula kwake.

Mjanja ni yule aliyekubali kuchomewa banda lake na Wilson Mukama akavuta mpunga kesho tunaoneshwa vidiu ati Cjadema imeingiza magaidi kutoka Afghanistan!!

Ati magaidi wamechoma banda la kuku wakaiacha nyumba na mwenye nyumba salama salimini.
Duhh!!
 
Mkuu Matola, nimeguswa ila kwenye marketing strategy, kuna mtindo wa ku capitalize on any publicity opportunity, jamaa ametobolewa macho, amepata public sympathy hivyo wacapitalize wa publicity wanapitia hapo hapo!.

Ninayo taarifa ya connection kati ya hii GSM, Msoga na wale Waarabu, kitu ambacho sijaweza ku connect ni mambo mema makubwa wanayofanya kwa mamilioni ya fedha za kusaidia karibu kila kitu, kwanza hayo mamilioni yanatoka wapi and what for?!.

I fear the Greeks especially when they bring gifts!.

Pasco
well said!
 
Huu msaada mbona kama unataka kumziba mtu mdomo,
Sijui kama ni Said au ni wananchi?
Natamani nijue chanzo cha kutobolewa macho na scop [emoji16] [emoji16].
Kwa yeyote anayejua pls help nielewe.
Mwisho itajulikana tu, dunia haina siri,
 
Naamini makonda kajuana na hawa watu akiwa bado ni jobless,in short ni marafiki zake,
hawa jamaa wana foundation yao kwa ajili ya kusaidia jamii.
Kampuni kubwa kuwa na foundation kama hiyo ni kawaida sana,wenzetu biashara wanaifanya kisomi,wanajuwa leo wakisaidia jamii,wanatengeza costumer base yao kwa ajili ya product zao,
ni aina fulani ya marketing
Aaa, sawa mkuu! Marketing ok, waje wafanye na kwangu hapa rangi tatu basi au?
 
Wanasiasa kuwa karibu sana wafanyabiashara ni hatari ndo maana nchi za watu imepigwa marufuku.
 
Ile research ya kati ya watz 3 mmoja ni chizi kumbe ni ya kweli.
 
mti wangu sponsor GSM...mabango ya mti wangu pale mwenge na sehemu nyingine GSM...awe makini tuu ..hakuna free lunch.....kwenye movie ya Godfather yule mzee kuna msaada alimpa jamaa akamwambia kuna siku nitarudi unipe favor....au hata inawezekana wanasafisha hela ...well jamaa wa gsm wako smart sana nawakubali(jinsi walivyoifunga home shopping centre na kuja kivingine ...they are smart!
 
Wanasiasa kuwa karibu sana wafanyabiashara ni hatari ndo maana nchi za watu imepigwa marufuku.
labda nchi za scandnavia ndo wameweza,huku kwingine iwe marekani,russia,uk etc wenye hela wana sauti sana kuliko hata hapa kwetu,
yule Roastam aziz wa marekani anaitwa Anderson sheldon,myahudi ikifika uchaguzi mkuu,wagombea wa republican hawakamatic kujikomba kwake ili awafinance kwenye kampeni,
money is power
 
Acha wivu mtoa pst. Mbona GSM wamedhamini operation ya watoto wenye vichwa vikubwa pamoja na mgongo wazi Tanzania nzima na wala makonda hakuhusika. Watoto wengi wa maskini ambao hawakua na uwezo hata wa kwenda Dar sembuse India wameweza kupata huduma bure kabisa.
 
Hao nyumbani dukani senta si wamebadilishia gia hewani,na sasa wanatumia jila boss vifupisho vyake vitatu...
Hii purely money laundering cz hao senta,walishataitiwa wakaamua kujitangaza mufilisi ss wanakuja na gia ya misaada!Ila ngosha anawalia timing tu
Kuna sehem za kugusa lakini si hapo. Ngosha alishasema atawalinda kwa nguvu zote
 
Back
Top Bottom