Hivi kuna siri gani kwenye tendo la ndoa dhidi ya wanawake? Mbona wamezidisha sana kuwaanika wenza wao?

Kuna jamaa mmoja aliwahi kula wake wawili wa wachungaji tofauti, sio tu wake, mpaka na watoto wa kike wa mwanamke mmoja wao. Mimi nimewahi tafuna mke wa Ostadhi, bafuni mida ya saa 2 usiku. Tanesco walikata umeme
Tanzania ina wanawake million 31 na ushee na wewe research umeifanya kwa wanawake wa4 ukapata majibu juu ya hawa wote 31 vituko hivi [emoji23][emoji23]
 
We jamaa mshamba sana aisee
 
bakhresa walitengana na mkewe alioa mombasa,nchini kenya
 
Kwahiyo wewe akikuambia mumewe anapiga kimoja chali unamuamini, acha huo ujinga hata wewe mkiachana atakutangazia the same, we piga mzigo pita hivi
 
Tanzania ina wanawake million 31 na ushee na wewe research umeifanya kwa wanawake wa4 ukapata majibu juu ya hawa wote 31 vituko hivi [emoji23][emoji23]
Kwani research huwa inafanyika vipi? Au mpaka nitafune wanawake wote wa Tanzania ndo niaminike? Tokea nimeyajua mapenzi, mwanamke aliyewahi kusema hapana ni mmoja tu, tena kwa upererezi wa hapa na pale, unaambiwa hana kitobo. Lakini sijui ndo wake za watu, zaidi ya 90 nineshawakula kwa miaka yote hiyo 13
 
Hahahahaha.....

Wale mademu wa vingunguti.
 
Kuna mmoja aliniambia mume wake ana Kisukari nikamjibu "kamuuguze hadi apone"
 
Mara nyingi wanasema mume wake ana kibamia, au mume wake anakisukari, au mume wake ni mzee, au kasafiri, akikuzidi umri anakuambia anakupenda tu.
Hawasemagi nimependa pesa unazonihonga.
 
Mke wa mpemba hukiwa na muunguja. Wote wanajua Mambo ya majini.
 
We nae, sisi mweusi sio wazungu kwamba ukihojiwa utatoa ya moyoni ila mtaani tunawaona, mmonyoko wa maadili ni clear indicator ila pamoja na yote hayo Kuna badhi wanao shikilia misingi ya utu japo kwa % ndogo
 
Naelewa, Lakini haifai kujumuishwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…