Hivi kuna siri gani kwenye tendo la ndoa dhidi ya wanawake? Mbona wamezidisha sana kuwaanika wenza wao?

Kuna jamaa mmoja aliwahi kula wake wawili wa wachungaji tofauti, sio tu wake, mpaka na watoto wa kike wa mwanamke mmoja wao. Mimi nimewahi tafuna mke wa Ostadhi, bafuni mida ya saa 2 usiku. Tanesco walikata umeme
Tanzania ina wanawake million 31 na ushee na wewe research umeifanya kwa wanawake wa4 ukapata majibu juu ya hawa wote 31 vituko hivi [emoji23][emoji23]
 
Mimi na wewe unadhani nani ni mshamba,, Mwanamke wako aliwe unakuja kujumuisha wote wanaliwa kama sio ushamba ni nini,,

Kuhusu mama yako umesema hakuna mwanamke asiyeliwa nje ya ndoa, Au mama yako sio mwanamke ??

Anyways Mimi sijaoa,,

Nkupe number ya demu wa Nahreel yule msanii umtongoze ?, utuletee hizo video hapa.
We jamaa mshamba sana aisee
 
Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa

Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini, ana utajiri gani, anasali dini gani, kabila gani n.k

Umewahi jiuliza familia zinazovamiwa na majambazi na kuja moja kwa moja mahali hazina ilipo, hao majambazi wamefahamu vipi! Yaani raia zinatoka huko from nowhere at night, zinakuja kufungua kabati la vyombo na kunyofoa madolari!

Mwanamke ndiye mjenzi ama ndiye mbomozi wa nyumba yako, sio yake tena. Chanzo kikubwa ni tendo la ndoa kwa mwanamume aliyevutiwa naye kwa kipindi hicho, haijalishi unamkula mikwaju kwa kiwango gani

N.B: Hakuna mke wa mtu asiyekanyagwa nje, labda mke wa Mpemba

Endelea kukaza fuvu!
Tafakari, Chukua hatua

Mke wa Bakhresa hajulikani ni nani, maake alilijua hili kabla
bakhresa walitengana na mkewe alioa mombasa,nchini kenya
 
Kwahiyo wewe akikuambia mumewe anapiga kimoja chali unamuamini, acha huo ujinga hata wewe mkiachana atakutangazia the same, we piga mzigo pita hivi
 
Tanzania ina wanawake million 31 na ushee na wewe research umeifanya kwa wanawake wa4 ukapata majibu juu ya hawa wote 31 vituko hivi [emoji23][emoji23]
Kwani research huwa inafanyika vipi? Au mpaka nitafune wanawake wote wa Tanzania ndo niaminike? Tokea nimeyajua mapenzi, mwanamke aliyewahi kusema hapana ni mmoja tu, tena kwa upererezi wa hapa na pale, unaambiwa hana kitobo. Lakini sijui ndo wake za watu, zaidi ya 90 nineshawakula kwa miaka yote hiyo 13
 
Hahahahaha.....

Wale mademu wa vingunguti.
 
Mwanamke mke wa mtu anayekitembeza lazima aje na sababu za kuhalalisha anachokifanya hata kama hizo sababu ni za kutunga.

Mwanamke akikuambia mambo ya mumewe usimuamini sana na kujiona special, huyo anahalalisha tu tamaa zake hata wewe ukimuoa ataenda kwa mwingine na kuhalalisha kwa kukuzungumza kwa madhaifu.
Kuna mmoja aliniambia mume wake ana Kisukari nikamjibu "kamuuguze hadi apone"
 
Mara nyingi wanasema mume wake ana kibamia, au mume wake anakisukari, au mume wake ni mzee, au kasafiri, akikuzidi umri anakuambia anakupenda tu.
Hawasemagi nimependa pesa unazonihonga.
 
Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa

Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini, ana utajiri gani, anasali dini gani, kabila gani n.k

Umewahi jiuliza familia zinazovamiwa na majambazi na kuja moja kwa moja mahali hazina ilipo, hao majambazi wamefahamu vipi! Yaani raia zinatoka huko from nowhere at night, zinakuja kufungua kabati la vyombo na kunyofoa madolari!

Mwanamke ndiye mjenzi ama ndiye mbomozi wa nyumba yako, sio yake tena. Chanzo kikubwa ni tendo la ndoa kwa mwanamume aliyevutiwa naye kwa kipindi hicho, haijalishi unamkula mikwaju kwa kiwango gani

N.B: Hakuna mke wa mtu asiyekanyagwa nje, labda mke wa Mpemba

Endelea kukaza fuvu!
Tafakari, Chukua hatua

Mke wa Bakhresa hajulikani ni nani, maake alilijua hili kabla
Mke wa mpemba hukiwa na muunguja. Wote wanajua Mambo ya majini.
 
Tahira hili,

Naona kuna campaign za ajabu siku hizi humu, Mara kataa ndoa..

Naona wamefika mbali kuanza kuongea upuuzi kama huu, Ukimuuliza hizo data alitoa wapi hana majibu,

Hata tukimuuliza ina maana mama yake analiwa na watu wengine tofauti na baba yake hawezi kutujibu
We nae, sisi mweusi sio wazungu kwamba ukihojiwa utatoa ya moyoni ila mtaani tunawaona, mmonyoko wa maadili ni clear indicator ila pamoja na yote hayo Kuna badhi wanao shikilia misingi ya utu japo kwa % ndogo
 
Naelewa, Lakini haifai kujumuishwa wote.
 
Back
Top Bottom