Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri?
Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji?
Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea?
Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji?
Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea?
Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.