Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Nenda PCCB kama kipindi kile cha lijualikaliNashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri?
Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji?
Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea?
Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.