Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri?

Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji?

Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea?

Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
wewe kama nani ?
 
Huenda wanaogopa kodi?

Hata hivyo siwatetei, na kwa kweli siyo kutotoa taarifa juu ya makusanyo aliyofanya Mbowe pekee, kuna michango mingi imefanyika na baada ya kuchangwa pesahakuna taarifa yoyote inayotolewa juu ya matumizi ya pesa iliyochangwa.

Kwa mfano: Bawacha waliitisha michango ya kuhudumia wategemezi wa wale makomandoo wakati ule. Haifahamiki kama wategemezi hao walifaidika na hela iliyochangwa ama vipi, maana hapakuwa na mrejesho wa aina yoyote.

Hii ni tabia mbaya ambayo CHADEMA inabidi waiepuke.

Kinachotakiwa, hata kama huwezi kutangaza kiasi kilichokusanywa, awali ya yote washukuru wote waliohusika katika kuchangia, pili, aelezea manufaa yaliyopatikana kutokana na pesa iliyochangwa. Si lazima utoe tarakimu au hata kutaja majina ya wanufaika, lakini kuna njia za kuonyesha kilichofanyika.

Kuna udhaifu fulani huko ndani ya chama.

cc: Erythrocyte.
 
Ccm vipi? Uwazi wao upo sehemu gani michango ya royo tua mbona haijawekwa wazi
 
Wengine hata uendeshaji wa taasisi kubwa,bila chanzo Cha mapato,sijui kama hata mnalikumbuka Hilo,vyama viliporwa ruzuku Kwa Hila za wanachukua chako mapema,bado hapa wale wasio na Nia njema wanakuja na maneno ya kuwaonea wivu, taasisi inayomengi ya kufanya mbali na ujenzi wa taasisi,rasilimali watu inahitaji huduma,na pia kumbuka taarifa hizi zonakaguliwa hata na cag ,mbali ya
Mbowe kala michango
Sio ameiongoza taasisi kupata michango ya wananchi na wanachama Ili kuendeleza taasisi tegemewa katika uhuru ,haki na maendeleo ya kweli Kwa raia wote?
 
CAG anakagua michango iliyokusanywa kwenye mifuko ya rambo bila risiti kutolewa kwa aliyechanga?
 
Nadhani mchakato bado unaendelea...

Kuwa na Subira watazungumza wakimaliza.

Nini unakuwa na haraka hvo,. Au hujauliza kwa nia nzuri???
 
Waliowengi wivu unawakereketa.Bila ruzuku wameweza je wakipata Hela🤔
 
Back
Top Bottom