Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

Nenda PCCB kama kipindi kile cha lijualikali
 
Kwa akili hizi eti ndo mtu amekuja jukwaan kumwaga sera zake 😂😂😂😂😂🤾🤾🤾!!! Ukitaka details zote za mapato na matumiz nenda kweny database husika, iwe CCM, CDM, na wengine. Serikali ndio ina taasisi ya kuwakilisha mapato na matumiz ya mwaka wa fedha nayo utaipata kipind cha Bunge la bajeti!!! Kwa mantiki hiyo uwe unakuja na hoja za msingi zenye kupata majibu chanya!!
 
Wewe pimbi huna akili. Mnashindwa kuweka press release ? Kwanza huna akili kabisa zaidi ya kujikomba kwa fisadi namba moja. Utaolewa na waarabu.
Ulikuwa na hoja nzuri lakini umeharibu kila kitu kwa kuingiza matusi.

Amandla....
 
Ni mahali gani uliponisoma nikilalamikia swala la kutafuta hela za kuendeshea taasisi au matumizi yoyote, hadi ukaona inafaa unijumuishe na hili uliloweka hapa chini?
Sio ameiongoza taasisi kupata michango ya wananchi na wanachama Ili kuendeleza taasisi tegemewa katika uhuru ,haki na maendeleo ya kweli Kwa raia wote?
Nimelalamika popote kuhusu matumizi ya michango iliyochangwa?
 
Mleta mada njoo home kwangu uchukue Taarifa zote utakazo.
Au nipe wasap yako au email nikutumie.
Muwe mnatuliza vijambio aisee mbona data zipo ila watu mnapenda kupayuka.??
 
Wewe usichange.
Mambo ya chadema tuachie Wana CHADEMA.
Mbona sisi hatuhoji Mambo yenu ya kumteua mzee Kinana kuwa makamu?
 
Na zile tulizowachangia mawakili wa mbowe nazo watatoa taarifa?
Wewe SI ulitamani awe jela,Sasa anetoka na mawakili walilipwa Sasa unauliza pesa ya malipo yao ni sh.ngapi,kituo ambacho hakikusaidii zaidi ya kuonyesha kama hukufurahia hata yote hayo
 
Wewe SI ulitamani awe jela,Sasa anetoka na mawakili walilipwa Sasa unauliza pesa ya malipo yao ni sh.ngapi,kituo ambacho hakikusaidii zaidi ya kuonyesha kama hukufurahia hata yote hayo
Bwashee, hivi unajua kusoma na kuelewa kiswahili? Nimesema 'tulizowachangia', kigumu kuelewa hapo ni nini?
Mnakuja mtaani mnalialia na kuomba, tukiwachangia mnaanza kuleta nyodo siyo?
 
Bwashee, hivi unajua kusoma na kuelewa kiswahili? Nimesema 'tulizowachangia', kigumu kuelewa hapo ni nini?
Mnakuja mtaani mnalialia na kuomba, tukiwachangia mnaanza kuleta nyodo siyh
Hujachangia na nafahamu unaona wivu kwanini wamechangiwa,labda iwe akilizimekukaa sawa Sasa baada ya wanachukua chako mapema kukukaangia mafuta Yako mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…