Hivi kuna uhusiano gani kati ya 'gari' na 'mtoto wa kike?'

Hivi kuna uhusiano gani kati ya 'gari' na 'mtoto wa kike?'

Gari linaongeza credit kwa mkaka,with gari mengi yanarahisika. Karne hii Una kideti na mijasho ya daladala nani anataka?waiiiii
 
Yaani nakwambia hata mie sielewi kabisa. Demu wangu ashaniachaga stend kwa sababu kapata lift halafu mi nilichelewa kukimbilia hiyo lift. Niliumia sana. Kesho yake nikaenda NBC nikavuta loan ya 15 mil nikanunua gari.
 
Hivi hapa tunadiskasheni nini mbona sielewei halafu King'asti unatoka povu mbaya juu ya nini?
 
Last edited by a moderator:
Unaonaee, kama unaona then ukifikiri huoni. unaanza tena kuutafuta.

Yaani uhusiano wao kama unauona kumbe huuoni, unafikiri hivi kumbe wala hata akili yake haipo, au pengine unawapatia. pengine waweza fikiri anapenda gari kumbe anamuoshea mwenzie, unafikiri anamuoshea mwenzie kumbe ndio analipenda, unafikiri kapenda gari kumbe kakuona wewe, unafikiri gari ndio kivutio kumbe kwao yapo ya kumwaga, unfikiri labda gari ndio limemrahisisha kumbe ndio yuko hivyo. etc etcHawaeleweki, Yani ni kama utamu unakujaa, unakata, unakuja unakataa unasubiri ujeee, hauji, umeka tamaa, mara huooooo!!

kweli we kilaza...yaani mda wote huo unatafuta x huioni...!!!???:twitch::twitch:...eti wajameni...na nyie wengine x hamjaiona bado...!!??
 
Pole Mkuu, nilitaka kupotray kuwa uhusiano wa wadada na baadhi ya vitu mara nyingi haupo kama unavyoweza kuwafikiria haraka, ''very simple and yet very complicated at the same time'' Unaweza fikiri amependa gari lako ukakuta ana motive nyingine kabisa kabisa, Yaani uhusiano wao kama unauona kumbe huuoni, unafikiri hivi kumbe wala hata akili yake haipo, au pengine unawapatia.

kuna ambao kweli wanakua wamavutiwa na usafiri (kuepuka adha ya daladala) ila wengi pengine waweza fikiri anapenda gari kumbe anamuoshea mwenzie, unafikiri anamuoshea mwenzie kumbe ndio analipenda, unafikiri kapenda gari kumbe kakuona wewe, unafikiri gari ndio kivutio kumbe kwao yapo ya kumwaga, unfikiri labda gari ndio limemrahisisha kumbe ndio yuko hivyo rahisi rahisi. etc etc Hawaeleweki, Yani ni kama utamu unakujaa, unakata, unakuja unakataa unasubiri ujeee, hauji, umeka tamaa, mara huooooo!!

Mwanamke jua tu namna nzuri ya kumpenda, mheshimu na mjali uchukue na usimamie jukumu lako kama mwanaume (behaving leader), ukimchunguza chunguza utachanganyikiwa tu yet they are very simple but complicated, unaona sasa ugumu unakoanzia?????

Wenye uzoefu wanaweza kuthibitisha baadhi mkuu.
Tized mwenzio nina mswaki wa namba kwa hiyo hapa kwenye mambo ya inverse nini sijui waniua and yet nahitaji kujua huo ufafanuzi wako. msaada pliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz!!
 
Actually men just don't understand IT AIN'T ABT THE CAR BUT THE GOOD TIMES THAT COME WITH THE CAR!

Mimi binafsi yangu a mans ride n the way he treats his ride tells me 1000 words than his sorry filthy mouth of a liar !!!!!!!!!
Yap! Iweke yote kiswazi ili hata akina maimuna wapate ujumbe huu murua...
 
Ndiyo sababu ya vijana wengi hawajengi wanakimbilia kwenye magari,m2 mshahara laki 5 unanunua gari mafuta elfu 10 kwa cku=laki 3 kwa mwezi unabakiwa na laki 2,asa hapo unaifanyia gari kazi.tena
 

Yani nashindwa kabisa kuelewa, ni kwanini watoto wengi wa kike wanashobokea sana magari? Yani hata ajue sio lako, ili mradi kakuona tu unaendesha basi ukimgusia tu anajaa!!! Wengine kwao yapo, tena mengi tu ya kifahari, lkn bado akimuona kidume "anatembelea ------" yaani anadrive lazima ashoboke! Duh...!


We mzee acha maswali marahisi.Hivi kweli unadhani utapiga brashi kwenye bodaboda?
 
Jamaa yangu moja aliniambia akiwa anaendesha gari hasa kama anapita mtaani, akipunguza mwendo kwa sababu ya mashimo au barabara kuwa mbaya, kama kuna binti pembeni anamwambia unasemaje, yaani binti anaitika akidhani, anaitwa, dah, duh, lol, lah, aisee!

Ila ni kweli anachofuata mwanamke sio gari, bali ni "good times" kama alivyosema mdau mmoja, zinazoambatana na gari, outings, mbwembwe kwa wenzake kwamba jamaa yangu ana gari, kuepuka adha za usafiri, fahari, na imani/matarajio kwamba mwenye gari yupo "full fwezad".
 
Kuna uzi ulikuwepo zamani kidogo hapa kuhusu gharama za kuhudumia gari. Wadau wakakokotoa gharama kwa gari ya kawaida kabisa ambayo ni fuel economy ikaja ni around elfu 10 au 15 kwa siku ( kwa wakati huo). Yaani ukikokotoa hadi zile annual expenses ukaziweka per day ( road licence, insurance, fire, car service, fuel etc.) Sasa hapa ndo utajua mwanamke ana akili maana anajiuliza kama huyu mtu akiendesha gari ana uwezo wa kulihudumia kiasi hicho kwa siku ina maana hashindwi kumuhudumia yeye. Kwa hiyo ukiendesha gari ni kipimo cha uwezo wa kiuchumi. Ila hayo ya kuazima ndo hapo huwa wanaingia choo kibovu wanapigwa mkia wakishtuka njemba imesepa. Tayari mavitu meupe ushamwagiwa.....unafanyaje sasa!! Ni kulaumu tu na kusema wanaume wabaya.
 
Back
Top Bottom