Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Kwangu binafsi kila binadamu ana chembechembe za ushamba hata aishi mjini kiasi gani.
 
Mie kama jirani yenu nawatahadharisha: Wasukuma wanaenea kwa kasi sana hapo Tz (Sukuma expansionism).

Wako kila mahala ya nchi yenu. Rukwa,Katavi, Tabora, Tanga, nimeshangaa hadi Singida wapo. Na wakifika sehemu na kuizoea kwa muda mfupi LAZIMA WANUNUE ARDHI. Baada ya miaka kadhaa kuna Makabila hayatakuwa na ardhi, maana kilimo wanaona ni ushamba. ARDHI YA TANZANIA ITAKUWA MIKONONI MWA WASUKUMA KWA 70%. Endeleeni kuwabeza na kuwadharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…