Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Mmoja made my day one day. Kakosea namba, alikuwa anampigia Monica, nikamwambia amekosea. Akakata simu, then akapiga tena. Eti "kama wewe sio Monica basi tufanye tu ndio Monica", nilicheka jamani🤣🤣🤣
Atoto (Monica)bhana😅
 
Jamaa ving'ang'anizi sasa usiombe awe mwanakijiji amekosea namba hlf amepewa namba yako ujue uyo unaye🤣 yani atakusumbua hadi kieleweke. Hata ukimwambia wewe sio huyo anayemtafuta atakukubalia nakukata simu ila bdae lazima akupandie hewani hata km ni usiku.
 
Mmoja made my day one day. Kakosea namba, alikuwa anampigia Monica, nikamwambia amekosea. Akakata simu, then akapiga tena. Eti "kama wewe sio Monica basi tufanye tu ndio Monica", nilicheka jamani🤣🤣🤣
😂😂😂😂Kaona mambo yasiwe mengi
 
Sisi wanaume wa kisukuma ni dhahabu madame Aaliyyah

MUNGU kakupa chaguo lako sahihi toka usukumani ila unapuuzia kwa kutokumsikiliza jamaa😅

Mna muda mrefu munawasiliana sasa inatosha uwe mme na mke

Na ahidi kuwapa zawadi ya nyumba
Hapana kwakweli 😃😃😃
 
Wewe hujui uhusiano uliopo kati ya Usukuma na ushamba; kwa hiyo wewe ni mjinga
Ni bora mtu uwe mshamba kuliko kuwa mjinga
Yaweza kuwa kweli Wasukuma ni washamba, ila ni werevu; siyo wajinga kama wewe!
 
Tofautsha humility na ushamba.

Mkoa Gani Tanzania hii ukitoa Dar es salaam umeendelea na ni mkubwa Kwa Tanzania hii. Kama ushamba ni maendeleo basi acha waendeleaje kua washamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…