Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Usha
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda ,ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria flani kuonyesha kuwa ni mshamba nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki, angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Ushamba kwa wasukuma upo kwenye damu hata akizaliwa ulaya
 
Wana kata matonge makubwa...😂😂
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...😃
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...🤣🤣
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...😝😝
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...🤨
Nakadhalika na kadhalika...
Niliamka kukujoa,nimecheka huku na usingizi! Lamomy asubuhi tuna kikao cha dharula hapa kuna hoja
 
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda ,ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria flani kuonyesha kuwa ni mshamba nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki, angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekoseaK
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda ,ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria flani kuonyesha kuwa ni mshamba nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki, angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Siyo

SIYO USHAMBA WASUKUMA WANAJIANINI.NDO MAANA WANAONGEA KWA SAUTI. HAWALINGI NA HAWATISHIKI HAWANA ULIMBUKENI WANAPENDA LUGHA YAO. UKWELI NA UWAZI. KAMA HUO NI USHAMBA BASI
 
Back
Top Bottom