Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Sio kweli Bana yaani ukae England alafu usifanikiwe labda uwe MTU wastarehe Ila kama unamalengo unatoboa Nina class mate nilimaliza nae Six Yuko poa tuu Baba Ake Alikuwa na uraia wa Huko akamchukua huyo binti akampambania akapata uraia akamsomesha unesi kila mwaka anarudi anabadisha gari km Hana akili amejenga na ana biashara zake hata 30 age hajafika.

Mwengine shemeji yangu yy England ni raia sasa toka afike Uingereza Anamiaka mitatu huyu yy watoto wake wanasoma shule nzuri wote km wanne hivi kila mwezi anatuma sichini ya m 1 Kwa ajili ya matumizi na anajenga some where sasa hivi na anaplan Kurudi August mwaka huu.

Yaani ukae Europe alafu uwe lofa ww sio mzima kinyume na hapo labda uwe MTU wa starehe na mvivu KAZI kibao za viwandani, kubeba boksi, km unaelimu kidogo ndo unatoboa japo kuna mtiririko wa Kodi lkn cha kuweka hukosi.
 
Naunga mkono hoja! Ukiwa na profession ulaya rahisi kutoboa sana hasa hizo za afya malipo mazuri! Unaingiza hela nyingi kwa muda mfupi halafu hata uki convert kibongo ukiwa na. Pound 5000 tu ni hela ndefu huku na wala kwao kuipata sio kazi kama unajishughulisha!
 
My take---hili lina ukweli kwa kiasi fulani kwa upande ya wanaoenda kusoma nje ya nchi.
1.Kuna wanaoenda kusoma---wanajisahau hali ya maisha walioacha huku nyumbani--wao ni bata tu.Marafiki wanaokutana nao huko na ni kutoka hali na kipato tofauti---ULIMBUKENI unawapoteza--wanaacha walichokifuata.
2.Connections wanazozipata huko chuoni huwa zinapotea baada ya kuhitimu tu---na kila mtu anatawanyika kwenda kwao---ukirudi bongo huna hata mtu mmoja wa kukuonyesha mchongo au kukushika mkono kwenye soko la ajira---pia elimu ya nje haifanyi kazi kibongo bongo---very few waliosoma nje undergraduate wanaweza pambana na mishe za kibongobongo---I repeat---very few---Wachache sana!
3.Utamaduni wetu sio wa huko--vise versa is also true----kwenda nje ukasomea degree ya mambo ya fashion sijui interior design sijui upholstery---ulaya ni kazi zenye hela---unaenda UK kusomea kushona masofa---kazi ambayo bongo haihitaji degree---ni nyundo yako na kigodoro baas....wanaoendaga kufanya hizo courses tayari wana connections(either wanamiliki viwanda au wana uwezo wa kuendeleza kipaji.
 
Kwahiyo ulimpa tunda kimasihara kisa Ulaya
 
Ulaya ni kupiteza muda tu! Hakuna kitu. Bora hata sauzi. ....tunawaona vijana wa sauzi. Wanarudi na maendeleo
Mm nakataa. Japo hata hapa bongo mnaweza ajoriwa kazi wote siku moja mwenzio akasonga wewe ukaishia simu nzuri, club's na madem plus mvinyo. Kitu chochote ni targets. Ulaya kuna fursa za ajira bado lakini kwa wapambanaji. Ila ukifika kule ukiishi kama raiya wa kule nimekula kwako.
Kama bongo mtu anatoka kwa mshahara wa ml 2 kila kitu humohumo inashindikana vipi ulaya???
 
Hebu fikiria mzee wa miaka 50 na zaidi yupo kwenye magenge ya kufanyia mitungo wajukuu zake...Halafu kwani binti alimlia Nani pesa mpaka asulubiwe kiasi hicho?
 
Kwa hiyo hapa tunajifunza wakifika huko wanajifanya na wao Ni wazawa huko na kusahau Kama wao Ni wakwenda tu...so wangetulia wangetoka tu
 
Hv nandy kumbe alipigwa mtungo kikweli kweli..nilijua alihepa[emoji2960][emoji2960]
 
Huyo wa kwanza na stori yako ya kudanga ni nani alie feli maisha kati yako na yeye? Hapo imeshadhihirisha wewe ndo umeshafeli maisha maana unadanga
Aiseee Bora kudanga Tanzania kuliko kupoteza muda huko Ulaya....rudini tu kwa kweli
 
---very few waliosoma nje undergraduate wanaweza pambana na mishe za kibongobongo---I repeat---very few---Wachache sana!
QUOTE] kwa wanaosoma post graduate vipi?, education system yao ya post graduate ina work huku kwetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…