Hivi kuna uhusiano wa kwenda Ulaya na kufeli maisha?

Sio wote wengine ndugu zetu waliokimbilia huko ndio wanatuokoa.
Bongo hii maisha ya kifala sana tena ukute unadegree ya sociology kama yangu bora ukimbilie tu huko ikabebe box
Hao ndugu zenu wanawakomboa sijakataa,wanawatumia Dollars sawa,hao Ni wachache katika kundi la wengi waliolowea huko...Huyo nduguyo ana mradi wowote hapa nyumbani?amejenga?ukute siku ya kurudi huku Ni mwendo wa kufikia apartment za jangwani sea breeze baada ya miezi sita kwa mama magomeni
 
Acha kujidanganya kundi kubwa la waliokimbilia ulaya wanaunafuu wa maisha kuliko wanaosota hapa bongo.

Hao wanaorudi na laptop pamoja na smartphone ni kundi la wachache ambao hawajielewi
 
Mzee hv kweli yule dada sabaya alikung'uta?
 
Acha kujidanganya kundi kubwa la waliokimbilia ulaya wanaunafuu wa maisha kuliko wanaosota hapa bongo.

Hao wanaorudi na laptop pamoja na smartphone ni kundi la wachache ambao hawajielewi
Sio kweli....Sio kweli kabisa wanafanikiwa Ni wachache
 
Bora hao wanarudi hata na saa south Africa wanarudi na cheni shingoni meno ya dhahabu na tattoo hapo subiria story tu hakuna chochote cha maana wanachorudi nacho.
Yaani hao wa South ndio huruma.
 
Angalau hao wanatia Moyo,Sasa Hawa wanaorudi mpaka watumiwe nauli huwa wanakwama wapi?
 
Asante,umeeleza kitaalamu kabisa.
 
KABISA KABISA WENYE MALENGO NA NIDHAMU WANA TUSUA SEMA KWA JASHO SANA SANA SIYO LELEMA , UJANJA , WIZI NA RUSHWA KAMA BONGO,
ILA KATIKA KUMI NI WAWILI TU!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…