Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hii ni sawa sawa na kwenye uchaguzi wa mwaka huu CHADEMA wawaombe Mawakala wa CCM wawasaidie kulinda kura zao sehemu watakazoshindwa kuweka mawakala
 
Hautafuti nyumba ya kupanga mkuu? Tupange kaself tugawane vyumba, sebule na jiko tutumie pamoja?
Hahahah natafuta soon, maana nimeingia jijini rasmi. Itabidi tufanye huo mpango wa kugawana rasilimali

Ila haya mambo bana, utaskia G leo mie naogopa huku kulala mwenyewe naona kama mtu amesimama dirishani. Mary bana...usiogope njoo basi ulale huku kwangu leo. Hapo picha linaanza sasa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Njoo tupange kwa mtindo huo utaenjoy maisha, Mimi sina madhara hata, ni kama nyuki wa mashineni tu....
 
Wewe haujui, picha linaanza hivi.

Mwanaume kwa kawaida ni mvivu wa kupika. Hivo mwanamke atapika chakula cha wote na atatenga mezani watakula pamoja.
Kumbuka hapo mdada atakuwa amevaa nguo ambazo sio rafiki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚na unajua watu wakishiba mawazo ya sex yanakuja?

Wanaanzia hapo hapo hamna hata kwenda chumbani. Kwa sababu mlango umefungwa. Baada ya hapo ni kuanza kuishi kama mume na mke tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Shida inaanza pale mmoja wapo mpenzi wake anakuja kumtembelea.
 
wewe kuna kitu sema tuu
 
Hahahah ila hio inatokeaga ila lazima muwe mmezoeana kidogo. Ile ya sleeping over huwa ni very quick tactic hata kama mmekutana leo.

Sema mpenzi wako hawezi ruhusu uishi sehemu ya hivyo! You can plan doing that ukiwa single.
 
Ila kwa style hio lazma nikule kimasihara maana napenda kupikiwa haswa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tena upike kiufundi ndio dah.
 
utasikia mwanake mapishi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… boy niko zangu narusha rusha miguu kwenye sofaa
 
Hahahah ila hio inatokeaga ila lazima muwe mmezoeana kidogo. Ile ya sleeping over huwa ni very quick tactic hata kama mmekutana leo.

Sema mpenzi wako hawezi ruhusu uishi sehemu ya hivyo! You can plan doing that ukiwa single.
Kweli ni ngumu kumruhusu mpenzi wako aishi hivo.
Ujue nyege hazina adabu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ