Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Tena umepatia kwa kiwango cha juu sana.wewe unafaa sana mkuu.inawezekana ulishawahi kuishi maisha hayo.hebu nipe uzoefu kidogo
Hahahahaha unataka niendeleee ...

Jibu tu inawezekana mkiwa marafiki haswa tena washikajii na mnajuana mambo yenuu
 
Mtu mwenyewe anaezungumziwa hapa ni mimi ila mleta mada hata hajui
🤣🤣kumbe ni wewe eee sasa we ngoja tena nitakuanzishia visanga vya makusudi ilimradi tukulane kimasihar..

Tena ile style ya kisigino ni begani itakuwa introduced siku hi-yo🤣🤣🤣
 
Mkuu huyu ni kama kaka yangu aise tunaheshimiana mno
Aisee hayo maisha hata mapadre wameyashindwa itakuwa binadamu wa imani za kawaida!? Ni vigumu sana kwa binadamu wa kawaida, yaani hata kama una mpenzi wako yuko huko nje hakika hawezi kuwa na amani hata kama unampa kila siku, ila kama halali hapo bado atakuwa na mashaka tu!
 
Hahahahaha unataka niendeleee ...

Jibu tu inawezekana mkiwa marafiki haswa tena washikajii na mnajuana mambo yenuu
Popote ulipo..kunywa chochote nakuja kulipa🥰🥰🥰
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom