Hahahahaha unataka niendeleee ...Tena umepatia kwa kiwango cha juu sana.wewe unafaa sana mkuu.inawezekana ulishawahi kuishi maisha hayo.hebu nipe uzoefu kidogo
NakubariiiSiku zote
inakuwaga hivyo...Huwezi kuwaza sex ukiwa na njaa hata siku moja.
Ndiooo naungaa mkonoKwahiyo unamuunga mkono sio[emoji2957][emoji2957]
Sana nawezaaa mbonaaaBuchy cat ww unaweza eeh
Mta enjoy sana, huyo ni wako, hsjikishs kila siku umetimia kwani any time utapewa hahaTena ya kuibia inakuwa gani konki zaid ya yule wa liquid [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣kumbe ni wewe eee sasa we ngoja tena nitakuanzishia visanga vya makusudi ilimradi tukulane kimasihar..Mtu mwenyewe anaezungumziwa hapa ni mimi ila mleta mada hata hajui
Jamani msikatishe watu tamaa hivyo🤣🤣
Anajua mwenyewe.. ya watu ni mengi..😅Ulimpiga kata funua nini🤣🤣
Mkuu huyu ni kama kaka yangu aise tunaheshimiana mno
Aisee hayo maisha hata mapadre wameyashindwa itakuwa binadamu wa imani za kawaida!? Ni vigumu sana kwa binadamu wa kawaida, yaani hata kama una mpenzi wako yuko huko nje hakika hawezi kuwa na amani hata kama unampa kila siku, ila kama halali hapo bado atakuwa na mashaka tu!
UnasalimiwaaaaDada anataka Kufanya practice..niunge mkono katika hili Kipenzi 😜
Bhasi ngojaa nipite kwa mangiPopote ulipo..kunywa chochote nakuja kulipa🥰🥰🥰
Nami nakusalimu..za siku mpendwa wanguUnasalimiwaaaa