Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Lazima nikutafune
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh!Inakuja inakata inakuja inakata[emoji1787][emoji1787]
Hoi fursa si ya kukosa hiiNatafuta wa kupanga naye..jinsia tofauti na Mimi..nataka nipate jibu la chakorii..😎
😂😂 TuliaHoi fursa si ya kukosa hii
Mimi hapa mkuu
Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu..
Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining room,sitting room tu.
Hivi hii kitu inawezekana kweli na kuendelea kubaki salama😅😅
Comments zenu nitazizingatia😁😁
Naomba kuwasilisha
🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂🥂
Eti nini? Sikubali huendi kwa Huyo muhuniHautafuti nyumba ya kupanga mkuu? Tupange kaself tugawane vyumba, sebule na jiko tutumie pamoja?
Kama kila mtu ana mtu wake hapo sawa....ila ni ngumu sana....baada ya mda mtapeana tu
Bado sijatoka kwa wazazi...[emoji854][emoji6]inaonekana una kauzoefu
Bado sijatoka kwa wazazi...[emoji854][emoji6]
Karibu sana, mzee ana wajukuu wengi wa kike, huwezi kukosa mmoja.[emoji6][emoji6][emoji854][emoji23][emoji23][emoji23] Hebu niambie vizuri basi nije home
Karibu sana, mzee ana wajukuu wengi wa kike, huwezi kukosa mmoja.[emoji6][emoji6][emoji854]
Mimi kumbe? Tutafute kiwanja kwanza....ndio tuyajenge...[emoji38][emoji6][emoji854]wengi wa nini, nataka tuyajenge wote
Mimi kumbe? Tutafute kiwanja kwanza....ndio tuyajenge...[emoji38][emoji6][emoji854]
wewe tu[emoji854][emoji854]ahahaahah [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kipo, nini kingine