Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu..

Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining room,sitting room tu.

Hivi hii kitu inawezekana kweli na kuendelea kubaki salama😅😅

Comments zenu nitazizingatia😁😁

Naomba kuwasilisha

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂

Aliyeleta pendekezo kati yenu ndiyo mwenye mpango muovu juu ya mwenzake.otherwise kila mtu ahamie hapo akiwa na mkewe au mumewe tayari yaani familia mbili zinashare nyumba moja.Hakuna vitu ninajitahidi kuviepuka vinavyowezapelekea kurahisisha maswala ya uzinzi.
 
Back
Top Bottom