Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

Hivi, Kuna uwezekano wa kujua Location ya Mtu alipo kupitia simu yangu Wakuu?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,162
Reaction score
2,616
Heshima kwenu wakuu.

Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu?

Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu?

NAWASILISHA.
 
Kama GPS location kaweka On au kama una friendship kwenye facebook na akashare location basi unaweza kujua yupo wapi...Pasipo kuwa na feature hizo ni ngumu labda TCRA ndiyo anaweza kujua kupitia namba ya simu.
 
kama umeagiza burger au pizza mi nakuletea vitumbua

unaweza kupata chat za mtu za whatsapp popote alipo, mashart uishike simu yake mara moja tu, pia iwe android device
 
Heshima kwenu wakuu.

Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu...?

Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...?

NAWASILISHA.
Nikchk inbox
 
Kama GPS location kaweka On au kama una friendship kwenye facebook na akashare location basi unaweza kujua yupo wapi...Pasipo kuwa na feature hizo ni ngumu labda TCRA ndiyo anaweza kujua kupitia namba ya simu.

Sasa kiongozi GPS ikiwa ON kwenye simu yake, unajuaje location aliyopo unatumia app au unafanyaje mkuu...?
 
kama umeagiza burger au pizza mi nakuletea vitumbua

unaweza kupata chat za mtu za whatsapp popote alipo, mashart uishike simu yake mara moja tu, pia iwe android device

Sio chats mkuu ni kujua location aliyopo chief.
 
Unaweza kama unaijua email yake na paasword yake utaona location kupitia Google Maps Timeline...

Ila utapo log in kwny device ingine atapata email ya tahadhari kuwa enail imetumika sehemu ingine...

Hii haitakuwa sawa kama atapata alert kuwa kuna mtu ameingia kwenye email yake...!
 
Back
Top Bottom