Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Nikchk inboxHeshima kwenu wakuu.
Kama mada inavyojieleza kuwa kuna app yoyote au njia yoyote ya kujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu...?
Najua Technology imekua sana na kila mtu anaijua kiupande wake je, kuna huo uwezekano wa kujua location ya mtu kupitia simu yangu Wakuu...?
NAWASILISHA.
ndiyo, wacheki TCRAkujua location ya mtu alipo bila ya kuwa na access na simu yake wakuu?
Kama GPS location kaweka On au kama una friendship kwenye facebook na akashare location basi unaweza kujua yupo wapi...Pasipo kuwa na feature hizo ni ngumu labda TCRA ndiyo anaweza kujua kupitia namba ya simu.
kama umeagiza burger au pizza mi nakuletea vitumbua
unaweza kupata chat za mtu za whatsapp popote alipo, mashart uishike simu yake mara moja tu, pia iwe android device
Nikchk inbox
Unaweza kama unaijua email yake na paasword yake utaona location kupitia Google Maps Timeline...
Ila utapo log in kwny device ingine atapata email ya tahadhari kuwa enail imetumika sehemu ingine...
Kuna jamaa alinitrack location nilipo kwa kutumia namba yangu ya simu tu, ilikuwa hapa hapa JF simkumbuki jina.
Aliniambha anatumia app ya kulipia!Hukumuuliza alifanyaje fanyaje mkuu...?
Aliniambha anatumia app ya kulipia!
Sikumchunguza kwa undani zaidi.
hapana siwezi ku share public.Kwani ukiweka hapa kwa faida ya wengine si ni sawa pia mkuu...?
hapana siwezi ku share public.