Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

Wangekuja kwasababu watu wangetakiwa kujua namna ya kufanya ibada zao na kujua madhara ya Kutofanya mema na faida ya kufanya mema
Asingekuwepo shetani mabaya yasingekuwepo maana tatizo lilianzia EDEN
Manabii walikuja baada ya kuona hali sio nzuri
 
Hilo sikatai ninachopinga Mimi ni kauli yako kuwa kuna Vita Kati ya Mungu na Shetani, wakati tunaona dhahir Mungu ndio mwenye nguvu juu ya kila kitu, naomba tuelewane Kwanza juu ya hili
 
MUNGU NA SHETANI HUWA WANAPIGANIA WAPI NA WANAPIGANIA NINI?
Hizi ni nguvu chanya na hasi ambazo zipo ulimwenguni ambazo ni nafsi...
Kiuhalisia shetani wala mungu hakuna anayeonekana kwa macho
 
Lakini nguvu zote hizi wapambanaji na wanaoweza kuzibalance ni wanaadamu wenyewe.Kwa sababu wema na ubaya vinawahusu wao.
 
Hilo sikatai ninachopinga Mimi ni kauli yako kuwa kuna Vita Kati ya Mungu na Shetani, wakati tunaona dhahir Mungu ndio mwenye nguvu juu ya kila kitu, naomba tuelewane Kwanza juu ya hili
Labda nikuulize kwanini mungu hakuweza kufix vitu baada ya shetani kuasi hakummaliza shetani lakini amekuwa akiangamiza vizazi ..source yenyewe ikaachwa ...ndio maana mm nikamaliza kusema mungu ni mkubwa na ukubwa wake siku ya kiama ndio utajulikana but saizi bado kuna battle na huu ndio ukweli kwa duniani shetani amekuwa akifanikiwa mara kwa mara ndio maana SODOMA NA KIZAZI CHA NUHU kiliangamizwa
 
Lakini nguvu zote hizi wapambanaji na wanaoweza kuzibalance ni wanaadamu wenyewe.Kwa sababu wema na ubaya vinawahusu wao.
Ni kweli ila hizi nguvu mwanadamu ni nguvu kuzishida hasa hii ya shetani maana hizi nguvu zipo kabla ya mwanadamu kuumbwa na ni nguvu ambazo binadamu anakuja na kuondoka duniani ila zenyewe zipo milele
 
Ukiwa mwema na muadilifu hakuna nyeusi itakutisha mkuu.
 
Na kiuhalisia hakuna binadamu wa kawaida aliyewahii kukaa kwenye nyeupe au nyeusi

Wengi tunachanganya japo kuna wengine wanakaa kwenye nyeupe kwa kiasi kikubwa wengine kwenye nyeusi kwa kiasi kikubwa

Kila mtu ana mema na mabaya japo wengine wanamema mwengi kuliko mabaya na wengine mabaya mengi kuliko mema
 
Watu wema kwa asilimia kubwa sana wapo ila wamefichwa kutokana na idadi yao kuwa ndogo na wao kujificha sababu huchukiwa sana.
 
Ndio wapo ila hakuna mwema 100%
Nafsi ya mtu kichaka anaweza kuwa mwema ila ya nafsi ayoyajua ni yeye mwenyewe

The same applied hakuna muovu 100%
 
Yakheee vita Kali ni ya pale ujuapo uloko nae muda mwingi. (ndugu/rafiki/mfanya biashara mwenzio/ mloko nae ofisi moja etc..) ndo anavujisha Siri zako ama kukuharibia .....
 
Hakuna vita kati ya akili na moyo..
Hii ieleweke
Hii ipo ila kwa maneno mengine ni vita kati ya nafsi na akili na hii hutokea kwenye mapenzi
Unakuta demu mzuri anajiheshimu,tabia nzuri ila nafsi inampenda malaya
 
Duuh hapo sawa maana moyo kwa nilivyo soma haupo kwa ishu za hisia an
 
Back
Top Bottom