Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

Hata angewaangamiza isingesaidia kitu sababu..source of evil bado ingekuwapo ndio maana amekuwa akiangamiza vizazi na vizazi ila dhambi haziishi ...km vitabu vya dini tunavyosoma vya kweli lucifer alitakiwa amalizwe ndio tatizo lingeisha

Huenda alikuwa na maana yake kutupima imani

But all in all huenda tuliwekewa km coupon ya kuingia peponi huu atakaemshinda kiduniani ndio again ataingina peponi
Chief

Hivi umejisikia majibu yako?

Kama angemmaliza Adamu na hawa INA maana kusingekuwa na kizazi duniani au kusingekuwa na wanadamu.

Sasa,

Isingesaidia nini wakati kusingekuwa na Shetani wala mwanadamu?
 
Ongeza hizi:
6.Vita baina
Chief

Hivi umejisikia majibu yako?

Kama angemmaliza Adamu na hawa INA maana kusingekuwa na kizazi duniani au kusingekuwa na wanadamu.

Sasa,

Isingesaidia nini wakati kusingekuwa na Shetani wala mwanadamu?
Kasome kwanza vitabu kati ya mwanadamu na shetani nani alianza kuwekwa duniani
Shetani baada ya kuasi na malaika wengine walitupwa duniani then ndio binadamu akafuata
 
Unazidi kufanya. Mjadala na wewe kuwa mkubwa Sana

Ni kweli binadamu ndio kiumbe cha mwisho kuja hapa duniani,Kwa maana nyinyinge Sisi na sisimizi wao ni wakongwe zaidi kuliko Sisi,Hilo halina ubishi.

Shetani na Malaika waliasi,kwahiyo sasa umetoka kwenye shetani kuasi na Malaika nao wakaingia kuasi, si ndio?
 
Mkuu; Mbona umenibananisha na ETUGRUL BEY ?
 
Chief

Unazidi kufanya. Mjadala na wewe kuwa mkubwa Sana

Ni kweli binadamu ndio kiumbe cha mwisho kuja hapa duniani,Kwa maana nyinyinge Sisi na sisimizi wao ni wakongwe zaidi kuliko Sisi,Hilo halina ubishi.

Shetani na Malaika waliasi,kwahiyo sasa umetoka kwenye shetani kuasi na Malaika nao wakaingia kuasi, si ndio?
Inshort hata shetani malaika nae
 
Vita Ni nyingi baina wenye nacho na wasio nacho.
Waliosoma vs hawajasoma
Wamesoma ufaulu wa kawaida vs wamesoma ufaulu wa juu
Waliosoma mpaka mwisho vs walioishia njiani
Wenye pesa vs wasio na pesa
Wenye dini zao vs na wasio na dini zao
Wenye gari za 100+M vs wenye gari 50-M
Wenye madaraka vs wasio na madaraka
Wenye mafanikio vs na wasio na madaraka
Wenye watoto vs na wasio na watoto
Wenye ndoa vs wasio na ndoa
Waliolewa vs wasiolewa
Waliooa vs wasiooa
Wenye kwao vs wasio na kwao ama wamepanga (nyumba)
Wenye mijengo ya maana ghorofa vs wenye nyumba za kawaida
Wenye watt wanaofaulu class vs wenye watoto wasiofaulu
Wanaopata bumu vs wasiopata bumu
Wenye kusoma school expensive wakafeli B's waliosoma kayumba wakafaulu
Waliosoma hawajapata hela vs hawakusoma wakapata hela
Wenye watt wa kiume vs wenye watt wa ke
Wenye smart phone vs wenye batani
Wenye smart phone vs Apple phone
Wenye Mac book PC's vs wenye normal pc
Wenye warefu vs wasio warefu
Wembamba vs wanene
Weupe vs weusi
Wenye maduka vs wasio na maduka
Wenye Ajira vs wasio na Ajira
Wenye usafiri wao vs wapanda hiace
Wenye kula hela kilaini vs Wala hela kwa jasho na damu
Wenye koneksheni vs na wasio na koneksheni
Born town vs bornvillage
Wenye discipline vs wasio na discipline

Yaani maisha Ni Vita basi.
Umeicheki neno Vita Ni neno la kilatini tafsiri kwenye kamusi ya kirusi Mana yake Ni maisha.

Naweza nikaendelea mpaka kesho
 
Unaweza eleza sifa za Malaika ili tujue wako Sawa?
Mkuu imeandikwa kabla ya kuasi shetani alikuwa malaika mwema baada ya kuasi akatupwa duniani na kundi lake sasa nikuelezee nn hapa
 
Imeandikwa huenda ikawa Sawa wala sikulaumu juu ya Hilo.

Hapa kuna tatizo la uelewa mzima kuhusu Malaika na Shetani.
Je unakubali kuna uelewa usio sahihi ili nikufahamishe?
 
Kati ya Mungu na shetani ni kama vinaekekea ukingoni, shetani keshashinda na Dunia ni yake, Mungu kakimbilia sayari nyingine. Maafa yote na mahangaiko ya Dunia ni shetani, angekuwepo Mungu angezuia. Au! Ukitaka maisha mazuri hapa duniani utamuona shetani. Fanya utafiti utagundua hakuna utajiri wa Mungu. Basi ujue Dunia inashikikiliwa na shetani, wale waliokoka sijui wameokokea nini!!
 
Utofauti upo hapo mwanzo malaika wote walikuwa wema wakimsujudia mungu ila baada ya malaika mkuu kuasi na wenzake ambaye ni lucifer walitupa duniani

Utofauti uliopo ni wapo malaika wema na malaika wabaya ndio hawa waliomuasi mungu
 
Na huu ndio ukweli sio sasa tangia mwanzo maana mungu ameshaangamiza vizazi vingi sababu ya huyu lucifer
 
Vita ipo sehemu yoyote kukiwa na battle kuna vita km isingekuwepo manabii wasingeletwa duniani..
Hiyo vita ni kati ya wana wa nuru na wa giza chief na c kati ya Mungu na shetan. Usisahau shetan na malaika zake pamoja na Mikael na Malaika zake.
 
Utofauti upo hapo mwanzo malaika wote walikuwa wema wakimsujudia mungu ila baada ya malaika mkuu kuasi na wenzake ambaye ni lucifer walitupa duniani

Utofauti uliopo ni wapo malaika wema na malaika wabaya ndio hawa waliomuasi mungu
Narudia tena swali langu.

Je unakubali kuwa kuna uelewa ambao sio sahihi kuhusu shetani Na Malaika.

Kama jibu ni ndio nikufahamishe kama hapana nisepe
 
Narudia tena swali langu.

Je unakubali kuwa kuna uelewa ambao sio sahihi kuhusu shetani Malaika.

Kama jibu ni ndio nikufahamishe kama hapana nisepe
Ndio ninauwelewa according kwa mafundisho niliyoyapata km ni ya kweli...utofauti wa mimi na wewe inategemeana katika mafundisho aliyoyasoma lakini ukiyaweka hapa itakuwa faida kujifunza
 
Hiyo vita ni kati ya wana wa nuru na wa giza chief na c kati ya Mungu na shetan. Usisahau shetan na malaika zake pamoja na Mikael na Malaika zake.
No hiii vita ilianza mbinguni kabla yetu sababu shetani aliasi hata kule alishawishi malaika wengi baadhi akawapata
 
Ndio ninauwelewa according kwa mafundisho niliyoyapata km ni ya kweli...utofauti wa mimi na wewe inategemeana katika mafundisho aliyoyasoma lakini ukiyaweka hapa itakuwa faida kujifunza

Kabla ya kueleza Kwanza Nataka tujue kitu kimoja mara nyingi Sana mambo ya kidini huwa moja Kwa moja yanakubaliana na akili ya kawaida ya mwanadamu ili apate kuamini vizuri neno la Mungu na kinyume na hapo ni mashaka Kwa huyu mwanadamu kuhusu Mola wake.

Malaika ni viumbe ambao wameumbwa na Mungu na asili Yao ni Nuru.

Malaika ndio wajumbe WA Mungu Kwa maana ndio ambao huleta maono/wahyi/ufunuo hapa duniani kupitia Kwa Manabii na Mitume.

Na Malaika ni wasaidizi WA Mungu Kwa namna moja au nyingine lkn hii haimaanishi kuwa Bila wao mambo hayaendi,mfano Malaika ndio ambao wanaandika matendo yetu 24/7 kila siku isipokuwa wakati tumelala au kurukwa na akili.

Kama Malaika anaweza kumuasi Mola wake basi anaweza pia hata kupotosha ufunuo WA Mungu na kubadilisha ujumbe wake.

Anaweza pia asiendike matendo ya mwanadamu inavyotakiwa Kwa maana anaweza kuandika baadhi na mengine asiandike.

Je swali la kujiuliza sasa, kweli Mungu anaweza kuwa na wasaidizi wahuni?

Je Mungu anaweza kuwa na Malaika ambao hawafuati maagizo yake na kuasi amri zake?

Jibu ni hapana,kwahiyo moja Kwa moja hoja ya kusema Malaika waliasi si sahihi.

Shetani ni sifa ya uovu au ubaya, ndio maana hata mwanadamu muovu anaweza kuitwa shetani, lakini Ibilisi aliumbwa na Moto na yeye ni asili ya majini,na yeye moja Kwa moja ni shetani Kwa sifa Kwa maana ni muovu.

Sasa swali la kujiuliza hapa je akili yako na utashi wako,kipi kinakushawishi zaidi juu ya ukweli huu.

Achana na kuwa kwamba hili swala limeandikwa, je yapi ni maelezo sahihi ambayo yanawiana na ufahamu wako kama mwanadamu?
 
Ni kweli ulichoandika 100% but sometimes biblia kuna kuna controversial nyingi sana baadhi ya mistari

Lakini hapo mwanzo shetani alikuwa malaika au hakuwa malaika kabla hajatupwa dunia?

Jibu nadhani ni ndio sasa swali kwanini aumbwe na moto na wengine warm welcome kwa nuru wakati hapo mwanzo waliumbwa wote

Na pili umeelezea vizuri kazi ya malaika hapa ulimwenguni lakini hizo kazi ni za malaika watiifu kwa Mungu ambapo shetani haushiki alishatengwa

Na kinachompa shetani uhalisia kuwa alikuwa malaika ni namna yake shetani sio mtu wala kitu ni yeye ni nafsi

Cha kuongezea labda je walioandika vitabu vya dini waliviandika vitu vyote km hawakuandika vyote vingine vilifichwa ndio haya maswali yaliyokosa jibu na yenye utata km hili kwanini yeye aliumbwa moto pekee wakati uumbaji wake ulianza kabla ya uasi
 
Back
Top Bottom