Asingekuwepo shetani mabaya yasingekuwepo maana tatizo lilianzia EDENWangekuja kwasababu watu wangetakiwa kujua namna ya kufanya ibada zao na kujua madhara ya Kutofanya mema na faida ya kufanya mema
Hilo sikatai ninachopinga Mimi ni kauli yako kuwa kuna Vita Kati ya Mungu na Shetani, wakati tunaona dhahir Mungu ndio mwenye nguvu juu ya kila kitu, naomba tuelewane Kwanza juu ya hiliAsingekuwepo shetani mabaya yasingekuwepo maana tatizo lilianzia EDEN
Manabii walikuja baada ya kuona hali sio nzuri
Hizi ni nguvu chanya na hasi ambazo zipo ulimwenguni ambazo ni nafsi...MUNGU NA SHETANI HUWA WANAPIGANIA WAPI NA WANAPIGANIA NINI?
Hiyo IPO Sana tuVita Kati ya alarm ya kuamka na ngoja niongeze dkk tano🥺
Lakini nguvu zote hizi wapambanaji na wanaoweza kuzibalance ni wanaadamu wenyewe.Kwa sababu wema na ubaya vinawahusu wao.Hizi ni nguvu chanya na hasi ambazo zipo ulimwenguni ambazo ni nafsi...
Kiuhalisia shetani wala mungu hakuna anayeonekana kwa macho
Labda nikuulize kwanini mungu hakuweza kufix vitu baada ya shetani kuasi hakummaliza shetani lakini amekuwa akiangamiza vizazi ..source yenyewe ikaachwa ...ndio maana mm nikamaliza kusema mungu ni mkubwa na ukubwa wake siku ya kiama ndio utajulikana but saizi bado kuna battle na huu ndio ukweli kwa duniani shetani amekuwa akifanikiwa mara kwa mara ndio maana SODOMA NA KIZAZI CHA NUHU kiliangamizwaHilo sikatai ninachopinga Mimi ni kauli yako kuwa kuna Vita Kati ya Mungu na Shetani, wakati tunaona dhahir Mungu ndio mwenye nguvu juu ya kila kitu, naomba tuelewane Kwanza juu ya hili
Ni kweli ila hizi nguvu mwanadamu ni nguvu kuzishida hasa hii ya shetani maana hizi nguvu zipo kabla ya mwanadamu kuumbwa na ni nguvu ambazo binadamu anakuja na kuondoka duniani ila zenyewe zipo mileleLakini nguvu zote hizi wapambanaji na wanaoweza kuzibalance ni wanaadamu wenyewe.Kwa sababu wema na ubaya vinawahusu wao.
Ukiwa mwema na muadilifu hakuna nyeusi itakutisha mkuu.Ni kweli ila hizi nguvu mwanadamu ni nguvu kuzishida hasa hii ya shetani maana hizi nguvu zipo kabla ya mwanadamu kuumbwa na ni nguvu ambazo binadamu anakuja na kuondoka duniani ila zenyewe zipo milele
Na kiuhalisia hakuna binadamu wa kawaida aliyewahii kukaa kwenye nyeupe au nyeusiUkiwa mwema na muadilifu hakuna nyeusi itakutisha mkuu.
Watu wema kwa asilimia kubwa sana wapo ila wamefichwa kutokana na idadi yao kuwa ndogo na wao kujificha sababu huchukiwa sana.Na kiuhalisia hakuna binadamu wa kawaida aliyewahii kukaa kwenye nyeupe au nyeusi
Wengi tunachanganya japo kuna wengine wanakaa kwenye nyeupe kwa kiasi kikubwa wengine kwenye nyeusi kwa kiasi kikubwa
Kila mtu ana mema na mabaya japo wengine wanamema mwengi kuliko mabaya na wengine mabaya mengi kuliko mema
Ndio wapo ila hakuna mwema 100%Watu wema kwa asilimia kubwa sana wapo ila wamefichwa kutokana na idadi yao kuwa ndogo na wao kujificha sababu huchukiwa sana.
Hii itatokea kwenye vita izo pesa na uaminifu,Ongezea vita ya mapenzi
Ova
Hii ipo ila kwa maneno mengine ni vita kati ya nafsi na akili na hii hutokea kwenye mapenziHakuna vita kati ya akili na moyo..
Hii ieleweke
Duuh hapo sawa maana moyo kwa nilivyo soma haupo kwa ishu za hisia anHii ipo ila kwa maneno mengine ni vita kati ya nafsi na akili na hii hutokea kwenye mapenzi
Unakuta demu mzuri anajiheshimu,tabia nzuri ila nafsi inampenda malaya
Hii nimetumia lugha nyepesiDuuh hapo sawa maana moyo kwa nilivyo soma haupo kwa ishu za hisia an
Sawa sawa mkuu. Huwa nashangaa mtu anaposema moyo unapenda ety daahHii nimetumia lugha nyepesi