Hivi kuna wanaofanyabiashara ya Umachinga wenye Degree pale Mbezi Mwisho?

Bro piga Kazi, achana na watu , cha muhimu Pesaro, tumia degree yahoo vizuri hapo mbezi mwisho
 
UDSM ulipga kozi gani?
 
Huwa nawaambia watu kuwa kazi ni ngumu kupata, ila shughuli za kufanya zipo mpaka kiyama kitakapokuja!!!!!!!

Maisha ya mitandaoni yanawadanganya sana vijana, full maigizo wakati mtaa hautaki maigizo wala elimu ya kukariri!!!!!!!!! Mtaa una kanuni zake ambazo hutazikuta darasani mpaka unakufa!!!!!!!!!!!!
Moja ya kanuni ni hii hapa:


“Trouble cannot be avoided, you either go looking for it or it will come looking for you.” – Constance Friday
 
Una degree ya faculty gn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…